Maendeleo hayana Chama, hii hapa ni shule ya msingi Mwanavala iliyoko Mbarali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Katika nchi ambayo iko Uchumi wa Kati, nchi ambayo hununua mijidege kwa malipo Taslimu, hizi ndizo shule zake zilizotapakaa kote nchini.

Hili_ni_moja_ya_darasa_kwenye_shule_ya_msingi_Mwanavala_iliyopo_Mbalali..jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu Mkuu, Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya wao wanaliwa kichwa kesho kabla jua halijazama.

Fungu la Ukarabati limechepushwa.
 
Back
Top Bottom