Mbona Profesa Assad muda wake wa kuwa GAG ulipoisha hakuteuliwa kufanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa?

LUPEM

JF-Expert Member
Aug 10, 2020
427
636
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.

Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je, hana uwezo? Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.

Analalamika hovyo huko mitaani.
 
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.Analalamika hovyo huko mitaani.
Kwani ulishiriki kumhujumu wakati ule kwa kuibua madudu.
 
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.Analalamika hovyo huko mitaani.
Mkuu!!kwa kinachoendelea sasa hivi cjui hiyo legacy ya shujaa wenu wa afrika, mtailinda vipi!!kwani graph imeshuka ghafla ndani ya wiki tatu tu!!ikifika mwaka hakuna atakayemzungumzia tena!!fuatilia vizuri ndio utajua kuwa hujui, kwa sasa prof.asssad ni nani huko kwa watu wenye akili zao!!sio kwa yule MZEE WA NONGWA!!
 
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.Analalamika hovyo huko mitaani.
Pitia hapa

Next time usipende kuropoka
 
Umepiga mlemle! Huyo prof wa mapoyoyo kama alivyo yeye! Nani amuajili wa hivyo, kwa jija gani kwa mtano! Hana maono wala dira! Labda kucheza bao kijiweni cha kahawa!
 
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.Analalamika hovyo huko mitaani.
Uwezo wake mdogo.....
Mashirika makubwa ya kimataifa hayaajiri vilaza
 
Hata kama angeteuliwa, nisingeshangaa jiwe kumuwekea kauzibe

Rejea ya Likwelile na Mulamula

EtdnOYCXIAEThTJ.jpeg
 
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.Analalamika hovyo huko mitaani.
Pia ulimpa hilo dili akashindwa usaili wake?Unajuaje kama alikataa baada ya kukatishwa tamaa enzi zake akiwa na uhitaji wa kutoa mchango wake kwa taifa.
 
Hata kama angeteuliwa, nisingeshangaa jiwe kumuwekea kauzibe

Rejea ya Likwelile na Mulamula

View attachment 1749538
Hapo ndiyo utakapojua uwezo wa serikali ya Tanzania katika diplomasia ya kimataifa,sasa Prof.Assad anaongea sana anasahau kuwa yeye alikuwa mtu mkubwa serikalini na anapaswa kuwa na nidhamu.Inawezekana anapata offer lakini anakosa support ya nchi,kuvutia hakifai jamani!
 
Hiyo diplomasia ni ujinga. Hata African Union itakuwa walibaki wanashangaa. Hizi post nchi mpaka huwa zinafanya kampeni watu wako wapate, leo watu wanapata nchi inawakatalia.

Utawala wa Jiwe ulikuwa na ujinga mwingi sana. Ujinga ubaki huko huko Chatto walikomzika.
 
Simuungi mkono Prof. Assad kwasababu naamini ni mpumbavu wa kiasi cha juu, lakini kwenye ukweli lazima tuuseme. Huyu Prof. Assad baada ya kujifanya mhimili na kutumbuliwa na JIWE aliajiriwa na Serikali ya Sweden kama Mkaguzi Mkuu wa pesa inayotolewa na Serikali naTaasisi za Sweden kwenye miradi mnalimbali nchini Tanzania. Ila kiukweli, maslahi yake sio kama alivyokuwa CAG ndio maana ana BIFU na JIWE! NJAA NA TAMAA NI MBAYA SANA!
 
Kwa sasa hivi jiwe anafaidi nini?.

Roho yake mbaya jiwe ndo imempeleka kaburini mapema.
 
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.Analalamika hovyo huko mitaani.
Ni Auditor wa mashirika ya UN na Mashirika ya EU Mission Tanzania yanayotoa misaada kwa Tanzania kwa mkataba!
 
Acha uongo wewe!
1618179187147.jpeg

Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.Analalamika hovyo huko mitaani.
 
Kwa sasa hivi jiwe anafaidi nini?.

Roho yake mbaya jiwe ndo imempeleka kaburini mapema.
JIWE ameishaumaliza mwendo wake na katuacha wafuasi wake kibao. Wewe uliye hai si ajabuhata kuilisha familia yako huwezi. Watoto wako wanaona bora wangezaliwa na jirani! Ahahahahahah!
 
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.

Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je,hana uwezo?Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.

Analalamika hovyo huko mitaani.
Mtanyooka tu, analalamika hovyo sio 🤣🤣🤣 na bado
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom