Mwenyewe taarifa juu ya maktaba ya kumuenzi Waziri Mkuu Kawawa

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Habari JF.

Miaka ya nyuma Kati ya 2011 na 2012, Serikali ilianzisha ujenzi wa Maktaba au library ya kumuenzi Waziri Mkuu Kawawa. Maktaba hiyo ilikuwa ikijengwa eneo la Madale jijini Dar.

Mwenye taarifa juu ya kukamilika kwa maktaba hii na ikiwa inatumika atujuze. Najua nyakati hizi za digital ni kama vile library zimepitwa na wakati. Hata hivyo bado ni muhimu Sana kwa wanafunzi wa secondary na Msingi.

Je, ilikamilika? Inatumikaje?
 
Mwenye taarifa
 
Halo Wana JF
 
Back
Top Bottom