Mwezi huu tutegemee hukumu ambazo uenda zikaweka historia Tanzania

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,200
3,008
Moja kwa moja kwenye hoja

Tarehe 12/10/2021 , ni hukumu ya Kesi Kati ya Musiba na Benard Membe,,ikiwa Musiba atakutwa na hatia, itakuwa funzo kwa watu wengine kutukana watu kwa kuwa Wana backup ya mtu mkubwa.

Tarehe 15/10/2021, Ni hukumu ya Sabaya,Kama Sabaya atafungwa itakuwa fundisho kwa vijana wenye mamlaka kutumia mamlaka yao vibaya.

Tarehe 19/10/2021,ni hukumu ya Kesi ndogo ya Freeman Mbowe, Kama Mbowe na wenzake wakishinda kesi Basi itakuwa fundisho kwa polisi kutesa watu kwa sababu za kubumba.

Huu mwezi Kuna watu watanuna na kucheka kutokana na hizo hukumu
 
Screenshot_20210910-084441.jpg
 
Kesi zote zitahairishwa...na zitapangiwa tarehe nyingne..wa kumi na moja..
 
Nakwambia huyo miss anatetewa hatari. Mara wanamshauri vibaya màa chanzo ni sukuma gang ilimradi tu wajitengenezee amani bandia mioyoni mwao. Ukweli wanaujua ila wanataka kuungwa mkono katika uongo ili wafurahi
Sijaelewa mkuu, miss ndo Nan?
 
Back
Top Bottom