Nguzo mpya za umeme zingeelekezwa maeneo ya vijijini yasiyo na umeme

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,650
Ninawaza kwanini tanesco wasingeanza kutumia nguzo mpya za zege katika maeneo yote yaliyo kwenye mpango wa rea kuliko kuingia hizi gharama Mara mbili za nguzo.maeneo ya mijini wangefanya kubadilisha kwa zile nguzo ambazo zimechoka.Ni maamuzi ya kibadhirifu kuandoa hizi ambazo bado ni imara.
 
Back
Top Bottom