Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa...
4 Reactions
73 Replies
5K Views
TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa inayofichwa na Mamlaka na ambayo inawachanganya wananchi, na wala ule uongo wa Viongozi kwamba Nyumba za Tope au za nyasi hazitatozwa hiyo kodi, sasa umedhihirika rasmi kwamba...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Waungwana kumhusu huyu mja wake mola yapo mengi. Kwa ufupi haya ni maelezo bora kabisa kumhusu yeye kama binadamu na kama kiongozi. Huyu hakuwa na ubinafsi. Hakuwa na ubaguzi. Huyu ni tofauti...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama binadamu, sote tuna mapungufu. Hata hivyo ashukuriwe Mola kwa kutupatia nyota wa kuangalia na kujifunza miongoni mwetu. Enyi viongozi wetu wa zama hizi mliojawa na ubinafsi uliopitiliza...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Jana nilipotea njia nikajikuta nimengia chumba kimoja cha Club house. Nikasikia sauti ya Lisu, nikasema acha nitulie kidogo nisikie kinachosemwa. Mjadala ulihusu legacy ya JK. Nyerere, kusema...
24 Reactions
88 Replies
6K Views
Ndugu zangu, kuna tatizo kubwa humu nchini ya ki usalama linaloendelea dhidi ya watanzania linalosababishwa na Wachina. Katika Miradi mikubwa inayotekelezwa na Wachina kuna sehemu ndogo za Mradi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Waliogundua kuwa 63 bil zimeibwa kwenye miradi angeweza kugundua hivyo mapema hata bila mbio za mwenge. Kuna ushahidi uliothibitika kuwa mbio za mwenge ni uchochoro Mpana unaopitisha: 1. Ulaji...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanasema leo ni kumbukumbu ya Kifo cha Nyerere lakini viongozi wote wakubwa wameenda kutembelea na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Magufuli. Kwahiyo siku ya kumbulumbu ya kifo cha Magufuli...
16 Reactions
150 Replies
10K Views
Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution). Katika hili, Tz kama taifa iko kwenye stage gani? 1st, 2nd, 3rd au 4th? Na katika stage iliyopo vipi ni viashiria kwamba...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali. Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao. Familia ya...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi kusaidia utatuzi wa matatizo yanayowakabili Wananchi akisema, "Haipendezi changamoto inatatuliwa, ukija tena changamoto ile ile ipo"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti. Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye...
25 Reactions
176 Replies
10K Views
Video ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe hii hapa .
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Waziri Ummy Mwalimu: Kwa sababu Mhe.Rais ananipima kwenye ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha za mapato ya ndani, na mimi Mhe. Rais nimewaambia (Wakurugenzi) nitawabana, sitakubali mimi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WILAYA YA TEMEKE YATENGEWA ZAIDI YA TSH BILIONI 4 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO,SHUKRANI KWA RAIS SAMIA - DC TMK MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo kwa niaba ya...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza mradi mkuwa wa ujenzi wa Fremu za Biashara 6,000 mkoani Dodoma ambazo zinatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2024. Hayo yamesemwa leo Mkurugenzi Mkuu wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Najua UVCCM ukomo wa umri wa kijana na miaka 35, huu ni umri mkubwa sana yaani mdada anaweza kuwa na mjukuu lakini yuko UVCCM. Niombe tu Bavicha, UVCCM na Ngome ya vijana ACT wazalendo wazingatie...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom