Watu hutazama mwisho wako na si mwanzo wako

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,105
2,000
Hakuna watoto walikuwa na kibri na jeuli kama watoto wa Gaddafi Hakuna mwanamke alikuwa na kibri na jeuri kama mke wa Robert Mugabe.

Kama familia au washirika wa Al-Bashir wanapekuliwa, wanasachiwa, wanavuliwa nguo hawana kabisa amani tena, wewe Bashite ni nani?

Wote niliowataja mwisho wao hakika umekuwa na uchungu mkubwa.

Ukija Tanzania kwenye utawala wa Kikwete, Masha na Membe na Karamagi walikuwa un-touchable, leo wako wapi? Leo Membe mpaka watu hawapokei simu zake.

Makonda ajifunze kwa Ridhiwani Kikwete pamoja na kuandamwa sana na wapinzani hajawai kuudhalilisha upinzani public.

Pamoja na kuwa na uwezo wa kufanya chochote ndani ya utawala wa Kikwete lakini bado kuna muda alijishusha. Nakumbuka bungeni kwenye mjadala wa Escrow alisimama kutoa maoni na Nasari aliomba mwongozo na kumwambia nyamaza na Ridhiwani alinyamaza na kukaa, sijui angekuwa Makonda ingekuwaje?

Makonda, Gambo, Polepole & co Tutatazama mwisho wenu.
 
DUMU

Senior Member
Sep 23, 2019
184
250
Yatapita. Lipitalo hupishwa kisha maisha yataendelea kama kawaida. Hao ulowataja bado hawatakuja kuishi maisha ya kimaskini

DUMU KUBWA
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,409
2,000
Yatapita. Lipitalo hupishwa kisha maisha yataendelea kama kawaida. Hao ulowataja bado hawatakuja kuishi maisha ya kimaskini

DUMU KUBWA

Una uhakika gani, unadhani mali za wizi wanazochuma sasa hivi ndio pekee zitwapa uhakika wa kuishi vizuri? Usishangae akaingia kiongozi mwingine wakaishia gerezani.
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,388
2,000
Baada ya kuusoma huu uzi wako Paskali na kuangalia maoni ya wachangiaji, nimegundua kwamba; Kati ya watu wanaomtesa na kumhuzunisha Mh. Rais (Mwamba) kama alivyomuita Msigwa jana (Msemaji wa Rais) ni Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam Bwana Makonda (Dogo). Anafanya vitu ambavyo rais anaumia sana lakini hana ujanja. Sababu ya Rais kutokuwa na ujanja au kufa na tai shingoni ni tabia yake(kasumba) ya kutotaka kusikiliza wananchi wake, wasaidizi wake au yeyote anayeamini hajamfikia cheo. Rais hana tabia na uvumilivu wa kupokea ushauri au kuambiwa kile ambacho hataki au kupokea maelekezo kwa yeyote kwaminajili ya kuona cheo chake kinashushwa jambo ambalo sio kweli.

Rais akimtumbua Makonda ataonekana amewasikiliza wananchi wake waliompa kura, au wasaidizi wake ambao kawazidi cheo au wale washirikina na uchwara kama anavyojidai Makonda. Hivyo yuko radhi kufa naye kuliko kusikiliza chochote au yeyote kuhusu ubaya wa Makonda maana ataonekana kasikiliza mtu. Rais akitaka kuweka heshima ya kudumu amshushe huyu dogo hata ikibidi ambadilishe mkoa. Naamini huu ushauri hatausikiliza kama kawaida yake ili asionekane amemsikiliza mwananchi wake. Ataendelea kufa na tai shingoni. Ila basi Makonda badilika broo. Haya ni maisha tu.
 
mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,113
2,000
We kasuku utakua umekata tamaa ya kuishi
Hakuna watoto walikuwa na kibri na jeuli kama watoto wa Gaddafi Hakuna mwanamke alikuwa na kibri na jeuri kama mke wa Robert Mugabe.

Kama familia au washirika wa Al-Bashir wanapekuliwa, wanasachiwa, wanavuliwa nguo hawana kabisa amani tena, wewe Bashite ni nani?

Wote niliowataja mwisho wao hakika umekuwa na uchungu mkubwa.

Ukija Tanzania kwenye utawala wa Kikwete, Masha na Membe na Karamagi walikuwa un-touchable, leo wako wapi? Leo Membe mpaka watu hawapokei simu zake.

Makonda ajifunze kwa Ridhiwani Kikwete pamoja na kuandamwa sana na wapinzani hajawai kuudhalilisha upinzani public.

Pamoja na kuwa na uwezo wa kufanya chochote ndani ya utawala wa Kikwete lakini bado kuna muda alijishusha. Nakumbuka bungeni kwenye mjadala wa Escrow alisimama kutoa maoni na Nasari aliomba mwongozo na kumwambia nyamaza na Ridhiwani alinyamaza na kukaa, sijui angekuwa Makonda ingekuwaje?

Makonda, Gambo, Polepole & co Tutatazama mwisho wenu.
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
1,158
2,000
Maneno ya hekima kutoka kwa mhubiri 7:8
"Mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake. Mtu mwenye subira ni bora kuliko mwenye roho ya majivuno"
 
Mwanzi1

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
5,820
2,000
Hakuna watoto walikuwa na kibri na jeuli kama watoto wa Gaddafi Hakuna mwanamke alikuwa na kibri na jeuri kama mke wa Robert Mugabe.

Kama familia au washirika wa Al-Bashir wanapekuliwa, wanasachiwa, wanavuliwa nguo hawana kabisa amani tena, wewe Bashite ni nani?

Wote niliowataja mwisho wao hakika umekuwa na uchungu mkubwa.

Ukija Tanzania kwenye utawala wa Kikwete, Masha na Membe na Karamagi walikuwa un-touchable, leo wako wapi? Leo Membe mpaka watu hawapokei simu zake.

Makonda ajifunze kwa Ridhiwani Kikwete pamoja na kuandamwa sana na wapinzani hajawai kuudhalilisha upinzani public.

Pamoja na kuwa na uwezo wa kufanya chochote ndani ya utawala wa Kikwete lakini bado kuna muda alijishusha. Nakumbuka bungeni kwenye mjadala wa Escrow alisimama kutoa maoni na Nasari aliomba mwongozo na kumwambia nyamaza na Ridhiwani alinyamaza na kukaa, sijui angekuwa Makonda ingekuwaje?

Makonda, Gambo, Polepole & co Tutatazama mwisho wenu.

Huu msemo hauishi kwa viongozi wa serikalini tu, hata wale viongozi wa upinzani walingangania madaraka kwa muda udhaifu wao unaanza kujionyesha.
 
Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,311
2,000
Naona ANGUKO KUU LA Paul Makonda.
Atatafuta njia ya kupita,atakuwa amechelewa
Atalitafuta Jeshi linalomzunguka sasa,,,Hataliona tena.
Ataomba Msaada kwa Baba yake,ambaye muda huo atakuwa ameji quarantine CHATO,,,,hatasaidiwa
Mungu alivyo muaminifu,yoote atakayotaka kufanya ili kuiokoa nafsi yake,,,ATAKUWA AMECHELEWA.
NOTE MY WORDS.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom