johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,445
Waziri wa elimu Prof Ndalichako amesema Jeshi la Wananchi wa Tanzania litasambaza vitabu vya kiada na rejea vilivyochapishwa na Taasisi ya Elimu nchi nzima.
Msemaji wa jeshi amesema malori yote yameondoka leo yakiwa na shehena za vitabu hivyo kuvipeleka mashuleni kama walivyokubaliana na wizara ya elimu.
Source: ITV habari
Msemaji wa jeshi amesema malori yote yameondoka leo yakiwa na shehena za vitabu hivyo kuvipeleka mashuleni kama walivyokubaliana na wizara ya elimu.
Source: ITV habari