Kero ya Bunju B, mchinga hadi barabarani: Serikali haioni kero hii?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,327
24,206
Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B.

Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita.
Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi kilometa pande zote.

Serikali haioni kero hii?
Barabara hii ndio moja ya njia kuu kuelekea Kaskazini mwa nchi!
Hivi tunataka kila kitu mama Samia atoe agizo?
Mzee Makalla upo hapo?
 
Haya yote yalisababishwa na mwendazake na vitambulisho vyake hewa...

Hapo Bunju B vibanda vimejengwa mpaka juu ya mitaro ya maji

Na hakuna wa kuwagusa...
 
Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B.

Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita.
Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi kilometa pande zote.

Serikali haioni kero hii?
Barabara hii ndio moja ya njia kuu kuelekea Kaskazini mwa nchi!
Hivi tunataka kila kitu mama Samia atoe agizo?
Mzee Makalla upo hapo?
Acha kuwachomea wana
 
Back
Top Bottom