BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,420
2,000
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,426

Tukuulize Comte, kweli Hilo linawezekana?
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,426
2,000
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
Pia akili kiduchu huliangamiza taifa.
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,420
2,000
Mojawapo wa ujinga wa Nyerere ni aina ya hovyo ya muungano alioujenga na tatizo la mbio za mwenge

yote mawili ni ujinga tusioweza iga

Nyerere alikua mwanadamu,kuna ujinga alifanya hatufuati na kuna mazuri kafanya tunafuata

Hayo uliyotaja ni maujinga hatufuati
245202595_909890572981319_8324931197799697770_n.jpg

245259169_909890632981313_4899090072884947331_n.jpg

Kheri yako wewe unasema ukweli kwamba nyinyi ni wanafiki na mnafanya vitu kinyume cha maumbile
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,178
2,000
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA

Headline yako umeikosea. Inasomeka kama vile BAVICHA ndio wanaohoji.
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,628
2,000
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
UNAHANGAIKA NA HAO WAHUNI ACHANA NAO WANAKUUMIZA KICHWA TU WAENDE WAKACHEZE NA WATOTO WENZAO WAACHE WAKUBWA WAFANYE KAZI
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,420
2,000
Sijakuelewa mkuu

Tunafanya vitu kinyume na maumbile unamaanisha ushoga labda?

Kama ni hilo jibu lake ni fupi na rahisi sana,mashoga wapo vyama vyote sasa sijui wewe unadhani mashoga wapo Chadema pekee yake?

Na pia uelewe,kisayansi 5% ya viumbe vyote vina homosexuals....Ukoo wako una homosexuals

Hivyo hilo tushalimaliza na case closed.

Kuhusu Nyerere hawa vijana kwenda ni kwamba kuna baadhi ya mambo ya Nyerere tunayakubali na mengine baadhi hatuyakubali

Kama mwanadamu yeyote Nyerere ana mazuri na mabaya yake,hao wameenda kwa mazuri yake japo kuna mabaya hatukubaliani nae

Na mabaya yake tusioyapenda ni pamoja na muungano na ujinga wa mwenge,ila kuna mazuri yapo tunakubaliana nae

Kumtembelea ni symbolic kwamba tunaelewana nae na mazuri yake...

Ujinga mwingine unaoongea ni wako wewe,sikuungi mkono
Mkuu unaenda mbali huko mbona ni rahisi- Nyerere alifanya vitu vya kijinga- kupaswi kumuenzi. Kumuenzi huku ukijua ni mjinga na hukubaliani naye- ndo kinyume cha maumbile.
Kwa ujumla kwa sera za CHADEMA sioni wanapokutana na Nyerere. Ndiyo maana nimesema wewe ni bora kuliko wote huko CHADEMA ila cha kushangaza ilikuwaje nawe ukaenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere?
 
Aisopos

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
396
500
Kuna tofauti kati ya kukosoa na kudhihaki. Tume ya Warioba na ile ya Kisanga zote zimependekeza muundo wa muungano urekebishwe. Kwa hakika suala la mwenge nalo sasa linahitaji mjadala mpana.
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,420
2,000
Kuna tofauti kati ya kukosoa na kudhihaki. Tume ya Warioba na ile ya Kisanga zote zimependekeza muundo wa muungano urekebishwe. Kwa hakika suala la mwenge nalo sasa linahitaji mjadala mpana.
Sasa mnaenzi nini?
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,178
2,000
LABDA inategemea umeamkaje-

Sio hivyo. Headline ya ku-quote mtu ndivyo inavyoandikwa. Labda useme hujui hilo.

Kwa mfano, Majaliwa akisema, “Miradi yote ya kimkakati tutaikamilisha kwa wakati”, headline yake inakuwa:

Majaliwa: Miradi yote ya kimkakati tutaikamilisha kwa wakati
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
43,594
2,000
Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere.

BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho
Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai-
CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa kuleta serikali ya Tanganyika

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA

Mwenge ni ushirikina kama ushirikina mwingine. Ndio maana Nyerere alisema tujisahahihishe.
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,420
2,000
Sio hivyo. Headline ya ku-quote mtu ndivyo inavyoandikwa. Labda useme hujui hilo.

Kwa mfano, Majaliwa akisema, “Miradi yote ya kimkakati tutaikamilisha kwa wakati”, headline yake inakuwa:

Majaliwa: Miradi yote ya kimkakati tutaikamilisha kwa wakati
Asante- wahusika watafanya wakiona ni sawa
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
4,375
2,000
huna akili kweli mleta mada ,tarehe 14 sio tarehe yakufa mwenge au kuwashwa mwenge

Kilakitu kinazama zake kilichobakia mwenge uwe makumbusho na pale dodoma litengenezwe sanamu kubwa Basi
 
Sasa hiyo tatoo ya Bob Marley kwenye mapaja yako ni ya nini- au chama cha wavutaji?
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
4,375
2,000
Sasa hiyo tatoo ya Bob Marley kwenye mapaja yako ni ya nini- au chama cha wavutaji?
Haaaaaaa lumumba wamekumaliza mwezako sabaya anambiwa jitetee anasema anamchumba kamtolea Mali hivyo apunguziwe adhabu Kali acheni kujisahau
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom