Bavicha wafika Butiama kumuenzi Mwl Nyerere , Wamwaga mashada ya maua juu ya Kaburi lake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,558
217,846
Wakati Viongozi wote wa kitaifa pamoja na wale wa ccm wakijazana Chato kumuenzi Nyerere lakini kwa kupamba kaburi la Magufuli , kiasi cha Kusababisha Mshangao duniani , Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa , BAVICHA , yenyewe imefika Butiama na kupokelewa kwa kishindo na kisha kupelekwa hadi kwenye kaburi la Baba wa Taifa na kuweka mashada ya maua .

Viongozi_wa_Bavicha_Taifa_wakiwa_katika_picha_ya_pamoja_katika_Kaburi_la_Baba_wa_Taifa_Mwl._Ju...jpg

Vijana wa Bavicha wakiwa wamevalia fulana zao nzuri zinazochagiza umuhimu wa Katiba Mpya , wamemuenzi Mwl Nyerere Kihalali kwa kufika kwenye malalo yake , badala ya kufanya kama wale wengine walioenda kupiga porojo upande mwingine huku wakishindwa kueleweka Marehemu wanaye muenzi au kumkumbuka ni yupi .

Baada ya shughuli ya kumuombea dua Baba wa Taifa , vijana hao wakaamua kucheza bao kama ishara ya kuuenzi mchezo uliopendwa sana na Hayati Nyerere .

Bao_ni_mchezo_ambao_hayati_baba_wa_taifa_Mwl%2C_Nyerere_aliupenda_sana._Leo_katika_kumbukumbu_...jpg
 
Hapa kusema kweli ni Chadema 3- Lumumba 0.

Hii akili CCM hawana, halafu hao wakuwapa hiyo akili ndio wanafukuzwa bungeni na kuwaweka jela kwa kesi feki, CCM watabaki wajinga milele na hili taifa litadumaa kimaendeleo siku zote.

Maajabu mwenye siku yake hawamkumbuki, ila kwa ugeni wao naamini Nyerere anatabasamu tu upstairs kwa kujua Tanzania aliyoiacha bado ina watu wanaojitambua.
 
Hapa kusema kweli ni Chadema 3- Lumumba 0.

Hii akili CCM hawana, halafu hao wakuwapa hiyo akili ndio wanafukuzwa bungeni na kuwaweka jela kwa kesi feki, CCM watabaki wajinga milele na hili taifa litadumaa kimaendeleo siku zote.

Hapo Nyerere anatabasamu tu upstairaa s kwa kujua Tanzania aliyoiacha bado ina watu wanaojitambua.
Chadema Akili Kubwa vijana wadogo lakini WAMELIKOSHA TAIFA...Pambalu na Timu yako salute mingi sana!!!!
 
Hapa kusema kweli ni Chadema 3- Lumumba 0.

Hii akili CCM hawana, halafu hao wakuwapa hiyo akili ndio wanafukuzwa bungeni na kuwaweka jela kwa kesi feki, CCM watabaki wajinga milele na hili taifa litadumaa kimaendeleo siku zote.

Hapo Nyerere anatabasamu tu upstairs kwa kujua Tanzania aliyoiacha bado ina watu wanaojitambua.
Tulionya siku nyingi sana kwamba Chadema ni akili kubwa hawakuelewa , waache waendelee kuitegemea polisi yenye wale wa point 32
 
Bravooo Chadema, huo ndiyo mwendo sahihi.

CCM wao wamegoma kumuenzi mwalimu Nyerere wameamua kuzima mwenge tu kule Chato.
Kuna mmoja alisema eti mzee mchonga alikuwa laghai na aliishi kiujanja ujanja kama waishivyo watoto wa mjini leo.
 
Wakati Viongozi wote wa kitaifa pamoja na wale wa ccm wakijazana Chato kumuenzi Nyerere lakini kwa kupamba kaburi la Magufuli , kiasi cha Kusababisha Mshangao duniani , Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa , BAVICHA , yenyewe imefika Butiama na kupokelewa kwa kishindo na kisha kupelekwa hadi kwenye kaburi la Baba wa Taifa na kuweka mashada ya maua .

View attachment 1974096

Vijana wa Bavicha wakiwa wamevalia fulana zao nzuri zinazochagiza umuhimu wa Katiba Mpya , wamemuenzi Mwl Nyerere Kihalali kwa kufika kwenye malalo yake , badala ya kufanya kama wale wengine walioenda kupiga porojo upande mwingine huku wakishindwa kueleweka Marehemu wanaye muenzi au kumkumbuka ni yupi .

Baada ya shughuli ya kumuombea dua Baba wa Taifa , vijana hao wakaamua kucheza bao kama ishara ya kuuenzi mchezo uliopendwa sana na Hayati Nyerere .

View attachment 1974101
Sawa.....

Ni watanzania......

Nyerere ni wa wote.....

Kwani Hawa BAVICHA miaka yote huwa wanakwenda?!!!

UVCCM ipo kabla ya BAVICHA....kabla ya kuanzishwa kwake walikuwa wanakwenda?!!!
 
Back
Top Bottom