Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized...
Pamoja na Sabaya kufikishwa mahakani kwa tuhuma lukuki ikiwemo matumizi ya silaha na madaraka kinyume Cha sheria, wafuasi wa mfumo butu wa security wamekubaliana na hoja kwamba alitumwa kwa...
Moja ya funzo kubwa tunalopata kutokana na hukumu ya Sabaya ni kuwa, hata ukitumika na wakubwa ,ipo siku hawatakuwapo na hata wakiwepo, wanaweza wasiwe na msaada kwako hivyo yatakukuta tu kama...
Mkishauriwa kutenda haki muwe na masikio. Sabaya alionywa na Lema hakusikia.Leo yamemfika. Kwa mnaokumbuka vizuri Shujaa naye pia alionywa na huyu huyu Lema atende haki,hakusikia!
Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022.
Uchaguzi mkuu wa...
Kitu pekee ambacho ninajifunza katika hii dunia ni kwamba kila nifanyalo ni lazima lipite, itakua "ilishakuwa". Kiufupi ili uendelee kufurahia maisha katika hii dunia tendwa wema wenzako, tenda...
Ni lazima viongozi wote wabadilishe namna ya kufikiri, haiwezekanu miaka 60 ya uhuru serikali imekazana kujenga madarasa tu na vyama vya siasa vimejikita kwenye kusaka ruzuku.
Mfano CHADEMA...
Serikali imetenga shilingi bilioni 45 za kutekeleza mpango wa anwani za makazi na postikodi nchini kwa kujenga miundombinu ya anwani hizo kwenye halamshauri 194 nchi nzima zilizopo Tanzania Bara...
Kama ambavyo
Mashehe wa uamsho walivyotolewa.
Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).
Mdude kuachiwa(kushinda kesi).
Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.
Singasinga...
Kila kitu ni connection, ni mkoa ambao jiographia yake ipo kinyume sana na mkoa tukutu sina hakika vipaumbele vyake nini? Mfano kuna mtu anaitwa kaponda amejaza mademu zake kuwa kuwa wakuuu wa...
Uzindizi wa kadi za Chama cha Mapinduzi za kieletroniki mkoa wa Dodoma
15 Oct 2021
Katibu Wa NEC Organaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dkt. Maudline Cyrus...
Mh Byakanwa kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Mtwara alitokea Hai alikohudumu kama mkuu wa wilaya.
Byakanwa alipokewa kijiti na Ole sabaya aliyetumbuliwa juzi
Byakanwa naye leo katenguliwa...
Watanzania tulidanganywa sana, nimemaliza Master Degree in Development Economics (MDE), nimesoma cases nyingi za nchi zilizokuwa maskini kama sisi wakati tunapata uhuru lakini sasa zimeshaingia...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais...
1. Mnajua kuwa mh. Rais hakuchukua fomu ya kugombea hiyo kazi? Yuko pale kwa matakwa tu ya kikatiba? Ha hawezi kukataa?
2.Mnaomkosoa mna Nia ya kumjenga au mnataka afeli ili mpate nafasi ya...
Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu...
Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la...
Tukijaribu kukumbuka jinsi alivypendwa kuabudiwa, kutisha watu, kuzusha uongo mfano mabeberu sio watu wazuri kumbe wamemfungia betri ili aweze kuishi, uongo kuponda serikali zilizopita wakati hata...
Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na...
Wanabodi,
Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili.
Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.