Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Heshima kwenu wakuu,

Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru. Ulivurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na kuanzisha vurugu.

Polisi walipoambiwa wawaondoe, walikataa kwa kile kilichodaiwa kwamba ni Wananchi wa Weruweru wanapaza Sauti zao hivyo waachwe waongee. Walikuwa wakimtukana Mbowe. Nia walitaka itokee Vurugu ili Mikutano ya Vyama vyenye mawazo Mbadala ipigwe marufuku na kwenye magazeti waandike Mbowe kapigwa Mawe Mkutanoni kama ilivyotokea kwa Marehemu Mchungaji Mtikila kule Mkoa wa Mara miaka ya nyuma.

Kuweka kumbukumbu sawa, Nimona niweke ushahidi hapa, ili haya mambo yasijirudie tena na kuwaomba Polisi kuyenda haki bila kujali chama.

Walioenda kwenye mkutano wa CHADEMA ni ni Viongozi wa CCM, UVCCM.
1583309267772.png


















Kinara alikuwa Halima. Halima ni Katibu wa Vijana CCM mtaa wa amani Boma Hai Kilimanjaro, Anaishi St Dorcas. Chini ni Video yake akiwa kwenye mkutano wa Mbowe akimlalamikia Mbowe. Namba zake ni +255755439***. Hapo anapoongea Polisi yupo na Wanachama wa CHADEMA wanamuangalia.
1583309475599.png

Wengine ni ni hawa hapa pichani na chini nmeweka Video. Nitawataja majina kabisa ili watu wawajue. Kutoka kushoto Katibu wa vijana Wilaya Mr Msakale general festo, Katibu wa kata machame uroki Hafidh Lema,Mwenyekiti UVCCM Kata Ndeanka wa Mwalimu Urassa,Katibu uvccm Kata Walter Shoo, Mjumbe wa kamati ya sasa Wilaya Aisha mbaga.


















Hii ni Video yao wakifanya Vurugu huku wakiwa wanaonekana wamelewa pombe walizonunuliwa kabla ya kujaa kwenye magari manne. Moja ya gari ndo gari ya Wasiojulikana. Kijana wa Millard Ayo anaijua sababu kaitumia sana wakati wa kulazimisha watu wajiuzulu cha kusainishwa barua kwanguvu. Ngoja niwawekee barua kwa wale waliosahau kwa kumbukumbu
1583312774105.png

Vurugu kama hizi zinapotokea, pia mtu wa kwenda kurekodi anaandaliwa na akisharekodi anawatumia Waandishi wa habari clip au picha inayofanana wote. Mwanzo alikuwa anatumiaka Kijana wa millard Ayo ndio alikua anatumika.

Baada ya kupigiwa kelele kwamba anatumika akawa ameondolewa na Millard Ayo akaomba msamahan ana kuahidi haitojirudia. Mnyampanda alivyotekwa alafu akiwa ndani kule akamkuta mwandishi wa AYO TV wakawa wanamhoji Maswali huku mfanyakaziwa Ayo TV akirekodi then wakarusha kwenye mitandao ya kijamii kwamba fulani kajiuzulu.

Hai kufa Ni rahisi Sana Kama unampinga Sabaya. Huyo mnyampanda alikua mwenyekiti mtaa wa geza sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA

Walichofanya waliunda kabisa Group la WhatsApp, wakapewa Magari Manne waende kufanya Vurugu kwenye Mkutano wa CHADEMA.

1583310010944.png

Polisi nmesikia wanasema hawawajui waliofanya Vurugu. Naweka hapa chini Group la WhatsApp waliloliunda kwenye kufanya Vurugu na baada ya Vurugu wakapongezana. Sitafuta namba zao ili Polisi kweli kama wana nia njema, Wampigie mmoja mmoja kumhoji. Mambo kama haya sio ya kuendekeza. Jana Mbowe angeruhusu Vijana wa CHADEMA wawadhibti, tungekuwa tunaongea mambo mengine.

Kipindi cha nyuma CHADEMA kulifanyika Vurugu kama hizi, wakamuua mwaandishi wa habari wa Channel 10 Mwangosi. Je, Polisi walikuwa wanaruhusu Vurugu zifanyike kwenye mkutano wa Mbowe ili iweje? Nani alikuwa anawindwa Vurugu zikitokea?

Zaidi: Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa ktk vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Kujua kilichojiiri Hai kwenye Mkutano wa Mbowe soma:
1) Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

2) Hai: Mbowe azungumzia tukio la kundi la Vijana waliovamia mkutano wake Jimboni

WENGINE:

A08BEE9A-CFD9-4A23-854B-3CEB2AECF90F.jpeg

Ambaye ndiye huyu chini 👇🏾

553F37DE-642C-4A15-BE64-CC895DC4768F.jpeg


C47A1D8A-52E8-45C1-8395-9BBE6DC0E05D.jpeg


Kwenye video ndiye huyu 👇🏾
CEEBCBC0-27ED-4D95-8AF6-73CAFEE25C48.jpeg
 
dubu hongera sana kwa Kazi njema na ya Kizalendo kabisa ya Kuibua haya mambo ila Mimi nakushauri kwakuwa Wewe unaonekana ni Mtu mkweli, Mzalendo na una Uchungu na yanayoendelea (ambayo hata Mimi Mzukulu) nakuunga mkono kwa 100% basi ungeweka kabisa hapa Majina yako Kamili, unakoishi na Namba zako za Simu na hata Email Address yako ili na Sisi wengine wenye Kuona mambo ya Kiuonevu kama haya tuweze Kukutumia na Wewe uwe unatoa kama hivi. Utakuwa umetusaidia na kutuokoa mno Mdau.

Nitashukuru kama nitapata Ushirikiano wako wa Majina yako Halisia na Namba zako za Simu ili niwasiliane nawe haraka nikupe Taarifa nyingine Nyeti kuzidi hii yako ili kwa pamoja tuweze Kuwaumbua hawa Manyang'au.
 
Kwani Mbowe alikua anafanya mikutano ya ndani ya Chama au alikua anafanya mikutano ya wazi Kwa wakazi na wanajimbo wa Hai ?...Pia naomba asisahau yeye si mbunge wa wanachama wa Chadema tuu, so asishangae ata mkuu wa wilaya akifika kwenye mikutano yake na kumlalamikia Kwa utendaji/uwakilishi wake usioridhisha.

Ninaamini ata wanachama wa vyama vingine Wana haki kufika mikutanoni na kutoa kero zao...dawa ni mbunge kuzitolea majibu ya kisayansi..the rest ni Drama tuu.
 
Kwani Mbowe alikua anafanya mikutano ya ndani ya Chama au alikua anafanya mikutano ya wazi Kwa wakazi na wanajimbo wa Hai ?...Pia naomba asisahau yeye si mbunge wa wanachama wa Chadema tuu, so asishangae ata mkuu wa wilaya akifika kwenye mikutano yake na kumlalamikia Kwa utendaji/uwakilishi wake usioridhisha.
Ninaamini ata wanachama wa vyama vingine Wana haki kufika mikutanoni na kutoa kero zao...dawa ni mbunge kuzitolea majibu ya kisayansi..the rest ni Drama tuu.
Mdau hivi unajua Siasa zetu kwa awamu hii ya tano...?
 
Kwani Mbowe alikua anafanya mikutano ya ndani ya Chama au alikua anafanya mikutano ya wazi Kwa wakazi na wanajimbo wa Hai ?...Pia naomba asisahau yeye si mbunge wa wanachama wa Chadema tuu, so asishangae ata mkuu wa wilaya akifika kwenye mikutano yake na kumlalamikia Kwa utendaji/uwakilishi wake usioridhisha.
Ninaamini ata wanachama wa vyama vingine Wana haki kufika mikutanoni na kutoa kero zao...dawa ni mbunge kuzitolea majibu ya kisayansi..the rest ni Drama tuu.
Kunyamaza nayo ni sifa kama nyingine
 
Back
Top Bottom