Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,358
- 1,807
Salaam wanajukwaa,
Maandiko matakatifu yanasema "usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine"
Naamini wanasiasa wengi ni wacha Mungu na wanayajua mafundisho vyema na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kumekuwa na msukumo mkubwa kutoka kwa viongozi hasa Rais, mawaziri na wabunge kuwasisitiza wananchi walipe kodi
Cha kushangaza wao katika mishahara, posho na marupurupu hawalipi kodi
Rais alituambia analipwa 9.5mill kwa mwezi
Waziri ni zaidi ya 6mill kwa mwezi
Wabunge zaidi ya 6mill kwa mwezi plus posho zaidi ya laki 3 na marupurupu
Watu hawa licha ya kupata mishara minono wamejitungia sheria ya kuwa exempted kwenye kodi lakini wao ni nambari wani kuwataka wananchi walala hoi, wamachinga mama ntilie, wakulima na wafugaji walipe kodi.
Serikali inapaswa kuongoza kwa mifano.
Hivi katika wabunge 394 kila mbunge akikatwa 50,000 kwenye posho ni Tsh 19700,000
Kwa vikao kumi tu ni Tsh 197,000,000
Wanakaa vikao vingapi kwa mwaka?
Kuna sababu gani za msingi za kuangaika na machinga na mama ntilie anayetafuta $1 kwa siku ili aishi?
This is unfair and unacceptable!
Sent using Jamii Forums mobile app