Huu ndio uhusiano kati ya Kesi za mbowe na ya Sabaya

Jembebutu

Member
Feb 14, 2017
88
225
Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa sababu yeye ni mmoja ya waliotendwa na Sabaya. Na hili limefanyika makusudi coz Mbowe angetinga mahakamani na ushahidi uliokithiri na angefichua na mengine yasiyopaswa kujulikana. Sabaya mwenyewe alianza kuropoka we unadhan mbowe angepigilia msumari na ushahidi wa kutosha pangekalika? Kifuatacho sasa ni Mbowe kutoka tu coz washatimiza lengo na hawana haja ya kumshikilia tena coz ishaanza kuwacost.
 
Kwani Mbowe angetoa ushahidi nini kingebadili hukumu tofauti na hii hukumu ya leo?
 
Sijui kama ni hivyo kwani kuna tetesi madhila ya Mbowe yana msukumo wa Zerro na Mchengerwa
 
Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa sababu yeye ni mmoja ya waliotendwa na Sabaya. Na hili limefanyika makusudi coz Mbowe angetinga mahakamani na ushahidi uliokithiri na angefichua na mengine yasiyopaswa kujulikana. Sabaya mwenyewe alianza kuropoka we unadhan mbowe angepigilia msumari na ushahidi wa kutosha pangekalika? Kifuatacho sasa ni Mbowe kutoka tu coz washatimiza lengo na hawana haja ya kumshikilia tena coz ishaanza kuwacost.
Akheri ungesema tunaandaliwa kisaikolojia kuipokea hukumu ya Mbowe pia.
Kama kafungwa Sabaya wa CCM kwa nini Mbowe wa Chadema asifungwe?
 
Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa sababu yeye ni mmoja ya waliotendwa na Sabaya. Na hili limefanyika makusudi coz Mbowe angetinga mahakamani na ushahidi uliokithiri na angefichua na mengine yasiyopaswa kujulikana. Sabaya mwenyewe alianza kuropoka we unadhan mbowe angepigilia msumari na ushahidi wa kutosha pangekalika? Kifuatacho sasa ni Mbowe kutoka tu coz washatimiza lengo na hawana haja ya kumshikilia tena coz ishaanza kuwacost.
Kwani katika watu waliofika police kumlalamikia Sabaya Mbowe alikuwepo?
 
Imekua simple sana siku hizi kuanzisha thd jf,utafikiri ni mashindano vile,mada ya hovyo kabisa hii.
 
Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa sababu yeye ni mmoja ya waliotendwa na Sabaya. Na hili limefanyika makusudi coz Mbowe angetinga mahakamani na ushahidi uliokithiri na angefichua na mengine yasiyopaswa kujulikana. Sabaya mwenyewe alianza kuropoka we unadhan mbowe angepigilia msumari na ushahidi wa kutosha pangekalika? Kifuatacho sasa ni Mbowe kutoka tu coz washatimiza lengo na hawana haja ya kumshikilia tena coz ishaanza kuwacost.
Watatoka tu ila kwa aibu..
 
Kwa taarifa yako tu kwa sababu sabaya kawashiwa moto mbowe hana bahati Tena amekwishwa ajiandae nae kwa jilan kumewaka moto kimchezo mchezo
 
Amini nakwambia. Kukimbizwa kwa kesi ya Sabaya ni ili kesi ya Mbowe imalizike coz ishakua ngetwa. Ipo hivi, Mbowe kupewa kesi ni ili kupisha kesi ya Sabaya iishe bila yeye kuwa kama shahidi kwa sababu yeye ni mmoja ya waliotendwa na Sabaya. Na hili limefanyika makusudi coz Mbowe angetinga mahakamani na ushahidi uliokithiri na angefichua na mengine yasiyopaswa kujulikana. Sabaya mwenyewe alianza kuropoka we unadhan mbowe angepigilia msumari na ushahidi wa kutosha pangekalika? Kifuatacho sasa ni Mbowe kutoka tu coz washatimiza lengo na hawana haja ya kumshikilia tena coz ishaanza kuwacost.
Maana ya malipo hapa hapa duniani umeanza kufanya utalii Kwa baadhi, waendelee kumnyanyasa tu, Bado mtalii anazunguka kutafuta kivutio kingine😂
 
Asingebadili hukumu bali kuna majina makubwa yangeanikwa juani. As long as Sabaya alishawataja baadhi unadhan wangejitetea vipi?
Defence ya Sabaya ilikuwa bomu pia. Kwa nini hawakuwaita akina Majaliwa na Mpango Kuja kutoa ushahidi.......!!
 
Back
Top Bottom