Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unamlipisha 20,000 ya kitambulisho cha Mmachinga kuonyesha kuwa yuko eneo hilo kihalali then Leo mnakuja kuwabomolea? Si muwarudishie basi Hizo 20,000 zao kabla ya kuwanyanyasa? Mliwakubalia tena...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari. Kwa wanaoshangaa wazo la waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba la kuja na tozo kwenye miamala ya simu ili aweze kupata fedha za kukamilisha miradi ya kimaendeleo wanaombwa kusoma gazeti la...
3 Reactions
66 Replies
10K Views
Natoa tu angalizo kwa wale wanaodhani eti Freeman Mbowe atafungwa ili kubalance equation kati yake na Ole sabaya. Niwakumbushe tu kuwa hizi ni kesi mbili tofauti kabisa na hata hadhi za...
16 Reactions
39 Replies
3K Views
Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu. Haya...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna wakati, niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni ya Barrick, nikiwa senior officer. Tukataarifiwa kuwa plant imesimama, kuna kikao cha dharula. Kusimama plant kwa mgodi mkubwa siyo jambo dogo...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
The trial Finally, The judge will take his place And the accused, The complainant And the onlookers: All will know where to be - and Justice will be meted out Even before the trial.
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Katika shauri dhidi ya Mbowe, mlalamikaji ni Serikali, na Serikali kiongozi wake mkuu ni Rais. Hivyo mlalamikaji katika kesi hii, ni Rais. Wakati kesi inasubiriwa kutolewa hukumu, mlalamikaji...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Shauri dogo ndani ya shauri lilopo sasa hivi linatokana na utata kuwa je mshitakiwa wa pili Adamoo alitoa maelezo yake kwa mujibu wa sheria? Kuna tashwishi kuhusiana na maelezo ya mshitakiwa huyu...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere mapenzi yake yalikuwa kwa nchi siyo CCM. Ukipenda nchi utakuwa mzalendo kwa dhati yako. Huwezi kutumwa kufanya ujambazi, ubakaji, utekaji, utesaji, wizi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania walio wengi wanakumbwa na tatizo la kujisahau. Nareje sehemu ya maelezo ya hukumu dhidi ya Zombe na Wenzake. Jaji alisema mwenendo wa kesi ulijadiliwa mitandaoni kwa ushabiki na ilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndani ya miaka sita ilyopita, nchi hii tumeshuhudia sheria zilizopo zikipindisha haki kwa kiwango cha kutisha. Raia wakitendewa ndivo sivyo katika nyanja mbalimbali. Vyombo vya maamuzi zikiwemo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hukumu ya leo wazi wazi inaonyesha kuwa wamedhamiria kumfunga Mbowe. Kungelikuwa na afadhali kwenye Court of Appeal, mtu unasema kuwa ngoja nitakata rufani lakini kwa mwendo wa Mahakama za...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakandarasi wazawa wa Tanzania wamekuwa mfano mbaya sana kwenye ujenzi wa barabara nchini. Waziri Mbarawa amelalamikia barabara ya Kidatu - Ifakara inayojengwa kwa lami na wazawa, ni mwaka wa 4...
8 Reactions
95 Replies
6K Views
Kama Taifa kuna vitu tunadharau sana na mara nyingi vime Tu cost Sana na kwa sababu hatutaki kabisa kuvitazama na kuvifanyia kazi, pengine vitaendelea kutu cost sana. Magonjwa ya akili ni jambo...
20 Reactions
34 Replies
2K Views
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile...
120 Reactions
253 Replies
23K Views
Kwanza niwape pole sana uongozi na wanachama wa CHADEMA kwa madhila anayopitia kiongozi wao mkuu wa chama, hakika ni majaribu makubwa sana kwake yeye Mbowe binafsi, chama, na familia yake kwa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwahutubia wananchi wa Longido amemlilia tena aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu John Magufuli na kuwataka wananchi wasimame kumuombea...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Akihojiwa huko CLUBHOUSE kwenye mahojiano yanayoendelea muda huu , Mh Tundu Lissu Amedai kwamba kwa namna yoyote ile , uteuzi wa jaji huyu anayesimamia Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na...
39 Reactions
148 Replies
13K Views
Umeshasema kuwa mwisho wa Wamachinga kuwa maeneo wasiyotakiwa ni tarehe 18 Oktoba, 2021 kwanini tena msogeze Siku mpaka tarehe 30 au 31 Oktoba, 2021? GENTAMYCINE nachukia Watu (hasa Watawala)...
6 Reactions
5 Replies
44K Views
Dar es Salaam. Mwanasheria wa kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege, ameiomba tena kufanya mazungumzo na ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom