Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,275
- 44,789
Hili linaweza kutokea tusipokuwa waangalifu tunatengeneza adui asiyekuwepo. Kuua nzi kwa gobole si uhodari na kuua sisimizi kwa bomu si ushujaa.
Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.
Tulifikirie vizuri...
Hatujalifikiria vizuri kwani tukiwalazimisha vijana wafike kwenye gema la kukata tamaa taifa litalipaaa.
Tulifikirie vizuri...