John Heche: CHADEMA tukipewa nchi tutaruhusu Uraia Pacha

Tundu Lisu hatakubali hiyo, hatakuwa na pumzi ya kutumikia mabwana wawili yani Amsterdam na pacha wake?
200 (7).gif
 
Nimemsikiliza kuanzia mwanzo 21:39 hadi 22:28 ,Heche ana madini sana,huyu jamaa kipindi cha saa 1 hakimtoshi inatakiwa apewe saa tatu(3 hrs) maana ana mambo mazuri mengi sana ya kulisaidia taifa,serikali inabidi muwe mnawatumia watu kama hao kuleta maendeleo.

Nimehuzunikia sana alipotolea mfano wa kisesa sehemu ambayo wanaweza kulima mpunga wakati anamshauri waziri mkuu,amesema tungewekeza pale bil 60 tungeweza kutoa ajira zaidi ya vijana elfu 50 na mnyororo wake wa wafanyakazi elfu 50(multiplier effect) ungekuwa mkubwa sana,lakini tumetumia zaidi ya bil 500 cash kununua midege wakati emirates ina routes zaidi ya 250 lakini wanannua ndege kwa mkopo.
 
Back
Top Bottom