Rais Samia ulisema suala la bando lisijirudie, Ila sasa limejirudia. Kazi kwako

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Raisi Samia pole kwa majukumu, napenda kukukumbusha kuwa kipindi kile bando limepanda Sana, ulitoa kauli na tunashukuru bei za bando mpya zikashushwa.

Ulienda mbali na kuonya hili suala lisijirudie tena, Mimi nikiwa mtanzania na mwananchi wako napenda kukueleza kuwa hili suala limejirudia, ni either kauli yako haithaminiwi au wewe mwenyewe huithamini.

Basi waja tunasema kazi kwako, utuache tuendelee kupambana na hizi bei mpya au uingilie tena.

Ila kwa ushauri wangu kwako, simamia msimamo wako kwa maana ikiwa Jambo kama hili unatoa maelekezo Ila yanapuuzwa baada ya muda, tafsiri yake Kuna makubwa utapuuzwa pia.

Screenshot_20211019-121031_1.jpg
 
Inaonesha wazi tamko lake lilikuwa la kisiasa, hayo makampuni ya simu ndio serikali inapenda kuyakamua kodi kubwa, kwa mtindo huu sidhani kama wataacha kupandisha bei za vifurushi vyao ili kufidia gharama ya kodi wanayotozwa.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Mama mwongo sana huyu. Niwakumbushe:-.
1. Alisema akikutqna na mabango kwenye ziara zake, mkurugenzi na mkuu wa wilaya husika atawatumbua. Juzi Arusha kakautana nayo mengi sana akaamuru yakisanywe yakasomwe.
2. Alisema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Sasa hivi kutwa kucha anazurura ktk nchi za mabeberu na chanjo ameleta.
3. Alisema atakutana na vyama vya siasa. Sasa anataka vyama vya siasa vikakutane na Mutungi pqmoja na IGP Siro.
4. Msinichoshe, na ninyi wasomaji ongezeeni
 
Inaonesha wazi tamko lake lilikuwa la kisiasa, hayo makampuni ya simu ndio serikali inapenda kuyakamua kodi kubwa, kwa mtindo huu sidhani kama wataacha kupandisha bei za vifurushi vyao ili kufidia gharama ya kodi wanayotozwa.
Nipo hapa kumkumbusha, huenda kasahau. Lakini ikiwa maagizo yake yanapuuzwa basi hataongoza nchi vizuri
 
Yule mzee wa brundi mwenye mabango kwenye mawe anautaka urais bado bila kuwachafua wengine ataupataje??
 
Raisi Samia pole kwa majukumu, napenda kukukumbusha kuwa kipindi kile bando limepanda Sana, ulitoa kauli na tunashukuru bei za bando mpya zikashushwa.

Ulienda mbali na kuonya hili suala lisijirudie tena, Mimi nikiwa mtanzania na mwananchi wako napenda kukueleza kuwa hili suala limejirudia, ni either kauli yako haithaminiwi au wewe mwenyewe huithamini.

Basi waja tunasema kazi kwako, utuache tuendelee kupambana na hizi bei mpya au uingilie tena.

Ila kwa ushauri wangu kwako, simamia msimamo wako kwa maana ikiwa Jambo kama hili unatoa maelekezo Ila yanapuuzwa baada ya muda, tafsiri yake Kuna makubwa utapuuzwa pia.

View attachment 1979577

bana weee, kwan hujui kampuni za simu znafanya biashara? au unadhani ni charity work?
 
Inaonesha wazi tamko lake lilikuwa la kisiasa, hayo makampuni ya simu ndio serikali inapenda kuyakamua kodi kubwa, kwa mtindo huu sidhani kama wataacha kupandisha bei za vifurushi vyao ili kufidia gharama ya kodi wanayotozwa.
Hana maamuzi.
 
Ofa ya SMS kwa Airtel ya Tsh 1,000/= kwa Meseji 10,000 sasa imebadilika na kuwa Tsh 1,500/= kwa SMS 9,000 tu.

Kiukweli Chamoto sasa tunakiona sana.
 
Back
Top Bottom