Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.
Haya ni matokeo...
CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha.
Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali...
Changamoto ya Maji inachangia sana kuwashikilia watu wa vijijini kwenye dimbwi la umasikini na kuongeza tofauti ya kipato Kati ya mijini na vijijini na kati ya wenye nacho na wasio nacho. Gharama...
IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari.
Serikali...
Wakati wa uongozi wa awamu ya pili wa Rais Mwinyi nchi hii tulipatwa na janga la ukame lililosababisha kuwepo na mgao mkubwa wa umeme.
Miradi ya kifisadi ya IPTL na Richmond ilikuja tokana na...
Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama!
Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amewasili Zanzibar leo akitokea Jijini Mwanza.
Mh Samia aliondoka jijini Dar kuelekea Jijini Mwanza leo asubuhi.
Sent using Jamii...
Ninamsifu Rais Samia kwa kuwa hana hulka za kupenda kusifiwa na kutukuzwa. Madhara ya mpenda sifa tunayaona
Nakumbuka kauli hizi
Wafugaji chungeni ngombe misitu na mito ni ya kwenu wafugaji waaa...
16 November 2021
Singapore
Naibu waziri mkuu Mh. Heng Swee Keat akiwa na Dr Philip Mpango makamu wa rais wa Tanzania.(Picha kwa hisani ya wizara ya TEHAMA Singapore).
Makamu wa Rais wa Tanzania...
Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono.
Ni...
Kama umeme wetu unategemea maji kwanini tuwekeze matrilioni ya pesa kujenga SGR?
Haya yatakuwa matumizi mabaya ya fedha. Pelekeni pesa hizo kwenye miradi ya kimkakati.
Leo Rais Samia akiwa Mwanza, akishirikiana na viongozi wa dini, wamefanya sala ya kuombea Taifa lipate mvua.
Ninachoshangaa, ni kwa nini hawa viongozi wa dini hawawi wakweli wa nafsi zao ambazo...
KESI ZA KUSADIKIKA SHULENI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Kesi ya leo huko shuleni ndio imenifanya niandike uzi huu, yaani kesi zingine zinachekesha sana, nitaandika kama nazungumza mwenyewe huku...
Sakata la umeme ni matokeo ya wapiganaji wa mradi wa mpya wa JNHPP waliotaka kupata kitu.
Ukiniambia ufisadi uliisha ni uongo watu wa dili wakatengeneza mradi wao wapigie pesa na kujiita...
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange...
Wakuu, katika kesi ya Mbowe na wenzake, liliibuliwa sakata la diary ambapo Shahidi alikuwa akipiga chabo siku ya Ijumaa, cha kushangaza Jaji alikataa diary isikaguliwe, ila baada ya siku 5, Leo...
Miaka 25 iliyopita,Baba yangu aliwahi kuniuliza kuwa "ukiwa Mkubwa na ukisoma sana,unapenda uwe nani Mwanangu"?
Nilimjibu bila kuchelewa kuwa nataka niwe Mbunge.
Baba yangu aliniambia neno...
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.
Na ndio walikuwa watesaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.