Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miaka mitano iliyopita kuunga juhudi kwa vyama vyote vya siasa ilikuwa kama fashion na Sera ya kutafuta vyeo kwenye vyama. Sasa tangu aunge juhudi Lazaro Nyalandu kumekuwa na ukimya mkubwa sana...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55...
3 Reactions
114 Replies
7K Views
Kumekuwa na tatizo la umeme mitaani hasa DSM kiasi kwamba tunaamini yaweza kuwa mgao usio rasmi. Cha kushangaza TANESCO hawasemi chochote kana kwamba hili ni suala la kawaida. Komesha umekuwa leo...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Mwaka 2019/20, CAG alifanya ukaguzi wa ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa katika ripoti tano zilizotolewa Aprili 2016 ambazo ni; i. Usimamizi wa utoaji leseni na mikataba ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumekua tukihubiri kuhusu uwepo wa Tanzania ya viwanda na Tanzania kufika kuwa nchi yenye uchumi wa kati kufikia 2025 lengo hili halitafanikiwa kwani tangu wiki hii imeanza kumekuwepo na mgao wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi. Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua...
19 Reactions
31 Replies
2K Views
Pamoja na baadhi ya Watanzania kuona kuna madudu yanafanyika pmus kuwanyonya kutokana na baadhi ya viongozi kuingia kwenye siasa kwa mgongo wa wazee wao, bado mnaweza kuwaachia watanzania legacy...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Mhe. Dkt. John Magufuli leo atazinduzi mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam. Mradi huu utaingiza megawatts 240 katika gridi ya Taifa...
12 Reactions
225 Replies
26K Views
Wanabodi, Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
KIBONDO, KIGOMA Jimbo la Muhambwe kumekucha leo 14 Mei 2021 Jioni hii Timu ya mashambulizi ilivamia jukwaa la burudani ikiwa ni sehemu ya Hamasa ya kumnadi Mgombea wa CCM Dkt Florence George...
0 Reactions
5 Replies
943 Views
KIKAO KAZI Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka jana tarehe 04 Juni 2021 alimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo katika kikao maalum cha...
0 Reactions
3 Replies
721 Views
Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM. Katibu wa nec itikadi na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Historia imeandikwa na hakuna anaeweza ifuta kwamba John Pombe Magufuli ni rais bora kabisa kuwahi kutokea Afrika. Dunia nzima na Watanzania wote wanajua namna alivyoipenda nchi yake na namna...
25 Reactions
69 Replies
5K Views
ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa...
4 Reactions
81 Replies
7K Views
Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza. Mashirika yanayotetea haki za binadamu yameikosoa vikali hatua ya Jeshi la...
7 Reactions
71 Replies
7K Views
Nimeangalia mwenendo wa Utawala huu uliopo naona kabisa Rais hana hiana na Mtu na wala hana shida na Mtu. Wana hana hiana na Team Hayati Magufuli. Nime kuja kugundua vitu viwili tu ambvyo...
24 Reactions
94 Replies
5K Views
Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya...
3 Reactions
89 Replies
7K Views
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja. Haya ni matokeo...
7 Reactions
68 Replies
5K Views
CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha. Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Changamoto ya Maji inachangia sana kuwashikilia watu wa vijijini kwenye dimbwi la umasikini na kuongeza tofauti ya kipato Kati ya mijini na vijijini na kati ya wenye nacho na wasio nacho. Gharama...
86 Reactions
133 Replies
64K Views
Back
Top Bottom