Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
435
613
IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO

Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari.

Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa Vyumba vya Madarasa Arobaini na Nne.

#KaziNaMaendeleo
#KaziIendele

056A8642.JPG

056A8633.JPG

056A8607.JPG

056A8672.JPG

056A8743.JPG
 

omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
1,022
1,584
Leteni habari ngumu, sio huu upumbavu, unapima kina wewe NICOLAUS?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom