Wale waheshimiwa wa kutozingatia PGO ambao kwetu barabarani tochi wamefanya huo ni ulaji wao rasmi na wa kudumu, nani wa kuwafunga kengele?
"40km/h limit hiyo ni kwa watembea miguu. Tufike mahali...
Watu wana vipaji vyao siyo mchezo.
Kiluchotokea leo bungeni kwa spika wa bunge Ndugayi kumuonya mzee Ulimwengu.
Kilisha jibiwa na mh Heche zamani sana sasa nashangaa sana Ndugayi kushindwa...
Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi.
Wamedai kila wakimfata DC...
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu...
Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo?
Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
Mataifa ya Bara la Afrika yametakiwa kuendelea kudumisha ushirikiano kwa vitendo ili kuchochea maendeleo ya nchi hizo kupitia misingi ya Uwazi na uwajibikaji.
Hayo yamebainishwa na Profesa...
Aliyekuwa mbunge wa kilwa mh Bungala a.k.a Bwege aliwahi kuonya suala la maji.
Kwa aliyo yasema pale bungeni naomba kila mmoja wetu amsikilize hapa kwenye clip yake.
Waziri Makamba unawakwaza...
Mara nyingi huwa nasikia mgombea urais ni lazima spate saini za watu asilimia kadhaa Bara na Zanzibar.
Lengo huwa ni nini wakati akishinda Katiba inamlinda kwa kinga ya sheria ya mazuzu.
Kwanini...
Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA.
Hata...
Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi.
Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya...
Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula?
Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo!
UDSM hakuna...
Hebu angalieni video hii halafu toeni maoni yenu .
Tukisema mambo kama haya bado tutaitwa wachochezi ? viongozi wataendelea kuwaona wananchi wajinga hadi lini ?
Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni.
Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika...
Shabbati Shalom from Jerusalem,
Brethren, nikiwa natembea hapa Temple Mount mahala lilipokuwa hekalu lililojengwa na Mfalme Solomon wa Israel yapata miaka 3000 iliyopita kabla ya kubomolewa na...
Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme...
Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme.
Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO...
Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga...
KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA.
Kagoma, Muleba.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM...
Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia.
Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike.
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.