Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai: Rais Samia anakwenda kutibu tatizo, si kupoza. Umeme, Maji itakuwa historia!

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Ninamsifu Rais Samia kwa kuwa hana hulka za kupenda kusifiwa na kutukuzwa. Madhara ya mpenda sifa tunayaona

Nakumbuka kauli hizi

Wafugaji chungeni ngombe misitu na mito ni ya kwenu wafugaji waaa waaa.

Wakulima limeni hadi kwenye vyanzo vya maji mana maji yanatiririka tuu yanapotea wakulima ...waavaa waaa.

Matokeo yake
Mgao wa maji
Uhaba wa umeme

PM Majaliwa anaagiza wakuu wa mikoa walinde vyanzo vya maji.

Waziri wa maji usiku usiku kwenye vyanzo na mabonde kuhakikisha maji hayapotei

Je, hatukuwepo? Je, hatukujua?

Waziri wa NISHATI vikao usiku wa manane kuhakikisha mgao unaisha.

Taarifa yaTMA ya Mwezi march na Mwezi October zote zilionesha kutakua na uhaba wa mvua je tulikua wapi?

Tumuombee Rais Samia. Ana kazi kubwa ya kurekebisha mifumo ya nchi yetu. Sina mashaka nae ni Msomi mzuri na anapenda kutibu tatizo sio kupoza ili kuwaridhisha watu baadae matatizo yaendelee.

Rais Samia watanzania milion 60 tunaimani na wewe na hakika tutafika salama.

Heri kuchelewa ili kufika salama kuliko kuwahi halafu kurudi kuanza moja kama hivi sasa napenda sifa na wazee wa kusifia wakaacha taaluma na kubaki kwenye propaganda na siasa

Rais Samia

KAZI IENDELEE
 
Madhara ya utawala wa Mwendazake zake yatachukua muda kuondoka ingawa Mama Samia ameonyesha kuyatibu kwa uwezo mkubwa.
 
CCM in ile ile....

IMG-20211118-WA0033.jpg
 
Back
Top Bottom