Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
69
341
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.

Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini.

Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue kwamba mnakosea pakubwa. Kama kampuni moja inaleta bilioni 460, ni mbali sana zidi ya fedha alizoyumia Mama kwenda Misri.

Kwa ufupi, BIASHARA IMELIPA
 
Wacha uongo, unafikiri wote ni wajinga?
 
610C0A55-D709-48AA-A680-8F5192E362A6.jpeg
 
Lete evidwnce..umeme tu umemushinda hadi maji ya kunuwa.upuuzi mkubwa
 
Duuh! Wee kilaza wee usiye na haya usoni! B460 ijenge viwanda 100? Yaani kila kimoja kijengwe kwa B4.6! Labda kujenga nyumba!

Ushindwe na ulegee shetani mtu!
Kwani viwanda vya mo cola,mo energy,mo 19 ni shingap kimoja?
 
Ngoja waje wale wachezaji wa Pingapinga FC
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.

Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini.

Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue kwamba mnakosea pakubwa. Kama kampuni moja inaleta bilioni 460, ni mbali sana zidi ya fedha alizoyumia Mama kwenda Misri.

Kwa ufupi, BIASHARA IMELIPA
 
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.

Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini.

Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue kwamba mnakosea pakubwa. Kama kampuni moja inaleta bilioni 460, ni mbali sana zidi ya fedha alizoyumia Mama kwenda Misri.

Kwa ufupi, BIASHARA IMELIPA
Huyo kilaza ameshindwa kusimamia umeme na maji leo hii aweze kuleta viwanda na muda siyo mrefu usalama wa nchi utakuwa matatani siyo kwa cdc mvivu wa kisa hiki.
 
Labda ni kweli unachosema,ila hivyo viwanda tutaviendesha na UMEME upi huu wa mgao au mwingine ?.
maana kama tu sasa hivi hali ndio hii ,matumizi yakiwa makubwa itakuwaje labda tuombe Mungu , Huko Rufiji mambo yawe mazuri kama tunavyotarajia tupate Umeme wa kutosha.
 
Huyo kilaza ameshindwa kusimamia umeme na maji leo hii aweze kuleta viwanda na muda siyo mrefu usalama wa nchi utakuwa matatani siyo kwa cdc mvivu wa kisa hiki.
Umeme na maji kwa nini vimekua tatizo?!!..au unaimba tu Kama vyura
 
Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja.

Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini.

Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue kwamba mnakosea pakubwa. Kama kampuni moja inaleta bilioni 460, ni mbali sana zidi ya fedha alizoyumia Mama kwenda Misri.

Kwa ufupi, BIASHARA IMELIPA
Itawekeza bilion 460 kwenye paper work lakini kiuhalisia karibia kila kitu mpaka vibarua watatoka kwao .. Kiasi halisi kitakachowekezwa hakizidi bilion 30 trust me
 
Back
Top Bottom