Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Someni hii:
Tatizo liko wapi CHADEMA?
Tatizo liko wapi CHADEMA?
Jet 4 sio 16, kwa 1.7 trillioniNdege 16 kwa 1.7 trilioni unashangaa nini?
Sasa hivi zinaruhusiwa kuruka baada ya kufanyiwa marekebisho , kwa hiyo tayari zina certificate of air worthness...though bado baadhi ya mashirika sehemu mbalimbali duniani hazijaruhusu kutumia..737 Max si ndio zilizokuwa zinaanguka mpaka ikapelekea zikafungiwa?
Wananunua hayo madege ili mabeberu wasiwe wakali kwenye issue za demokrasia na utawala bora.
Yaani serikali yetu inatumia zaidi ya Trilion 1.7 (pesa taslimu) kutoka kwenye kodi za watanzania ili kununua ndege, halafu inakwenda kuomba mkopo wenye wa riba wa 1.4Trilioni kutoka IMF ili kwenda kujenga shule na hospitali.
Tatizo ni Kula nyasiKwani kunatatizo
Hapa kunaufisqdi... Magufuli kanunua ndge 11 kwa trillion 1.2 harafu hizi ndegenne kwa trioni 1.7...na kwanini wasingesubiri hizo alzinunua magufuri ziendelee kufanya biashara kwanza?Air Tanzania Announces Order for Boeing Freighter and Passenger Jets
- Order for 787 Dreamliner, 767 Freighter and two 737 MAX airplanes
- Passenger and freighter models will boost airline's capability in Africa and beyond