Tutende wema; hili la umeme na maji ni pigo sana kwa CCM

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha.

Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme.

CCM badala muwaze kuleta maendeleo, mnaangaika na upinzani, sasa mmegeukia maombi ya mvua nani atasikiliza Sara zenu.

CCM badilikeni
 
Kabisa mwenyezi Mungu tusaidie watanzania tuondokane na CCM.🙏

DCAD0DC3-17E1-478B-B345-8E1373D7B2E3.gif
 
CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha.

Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme.

CCM badala muwaze kuleta maendeleo, mnaangaika na upinzani, sasa mmegeukia maombi ya mvua nani atasikiliza Sara zenu.

CCM badilikeni
CCM aibu kubwa
 
Nchi ina maziwa matatu makubwa, mito kibao eti bado wana uhaba wa maji na umeme, huyu mama viatu vya urais ni vikubwa kwake hilo halina ubishi. kikubwa anachoweza ni kuzurura kuomba omba misaada. Kazi kama kazi hawezi kabisa imemshinda......inakuwaje uamsho waachiwe eti Mbowe ndio awekwe ndani??? yale yale ya babu Seya...MBOWE SIO GAIDI.
 
Nchi ya Maombi
Serikali ya CCM inatakiwa kutubu madhambi yao ili Mwenyezi Mungu ili ashushe neema bila hivyo tunarudi kule kule mgawao wa maji na umeme, kuoga kwa zamu waliooga asubuhi jioni wasioge.. Umeme wakati wa taarifa ya habari tu - wenye viwanda vya kuchomelea na Saloon tangazeni maumivu.
 
Hakuna jambo baya kama kukwepa uwajibikaji na kujificha kwenye imani...
 
Mbowe atazisikiliza
 
Mbowe yupo ndani Ila tumepata natural calamaties,,CCM wamepanic
 
Hakuna jambo baya kama kukwepa uwajibikaji na kujificha kwenye imani...
kwa hiyo ilikuwa kosa kubwa mno kuombea corona itoke Tanzania ilikuwa ni pure kukwepa uwajibikaji na kujificha kwenye imani kwa serikali ya awamu ya tano.
 
Serikali ya CCM inatakiwa kutubu madhambi yao ili Mwenyezi Mungu ili ashushe neema bila hivyo tunarudi kule kule mgawao wa maji na umeme, kuoga kwa zamu waliooga asubuhi jioni wasioge.. Umeme wakati wa taarifa ya habari tu - wenye viwanda vya kuchomelea na Saloon tangazeni maumivu.
Fuso umesema. Ule uchaguzi uliopita wenyewe ni chukizo mbele za Mungu. Kuna damu ziko mbele ya Mungu zinalia. watoto walioachwa yatima na baba zao kuchukuliwa na wasiojulikana wanalia; Na mengine mengi. Kwanza Mungu hasasikii wenye dhambi mpaka hapo watakpotubu.

Soma Mambo ya nyakati 2 7:15-16
Nikifunga mbingu ili mvua isinyeshe, nami nikiamuru panzi waile nchi, nami nikileta ugonjwa hatari miongoni mwa watu wangu, 14 na watu wangu ambao wameitwa kwa jina langu+ wakijinyenyekeza+ na kusali na kuutafuta uso wangu na kuacha njia zao ovu,+ ndipo nitakaposikia kutoka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao.+
 
CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha.

Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme.

CCM badala muwaze kuleta maendeleo, mnaangaika na upinzani, sasa mmegeukia maombi ya mvua nani atasikiliza Sara zenu.

CCM badilikeni
Umesahau nzige
 
Back
Top Bottom