Binafsi huwa si mtu wa kuangalia data zihusuzo mambo ya madini hapa Ulimwenguni lkn kwa hiki alichonieleza jamaa yangu mkenya kimenishtua sana!
Anadai kuanzia July Kenya ndiye bingwa wa kuchimba...
Ule mpango mkakati wa kisasa wa kusajili wanachama unaoitwa Chadema digital leo 19/11/2021 umeingia kwa kishindo eneo Maarufu sana Mjini Songea Liitwalo Mfaranyaki, BOMBI HII NYUMBA HII , na...
Wakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati.
......
Ni sawa na kama uko Arusha unataka...
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi tunaomba Rais azuie mazao ya chakula yanayouzwa kwa kasi nje ya nchi maana naona mbeleni kuna njaa kubwa inanyemelea nchi yetu.
Ikumbukwe kwamba pamoja na...
Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo.
Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia...
Inafahamika kwamba Vietnam ndiye mnunuzi mkubwa wa Korosho hapa nchini na muuzaji mkubwa wa zao hilo katika nchi za ulaya na Marekani.
Katika mwaka 2019 alifanya biashara ya korosho yenye kiasi...
DAWASCO wanakwamisha utekelezaji wa ilani kwa kutokusambaza maji kwa kila Kaya kabla ya 2025.
Pia, wanafurahia mgao wa maji, haiwezekani jiji la Dar es Salaam likose maji kwa siku7 mfululizo na...
HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA.
Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama...
Rais Jakaya Kikwete, Alhamis Wiki Hii anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Mradi huo wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo utakaokuwa wa aina yake Afrika...
Nimetafuta info kuhusu BRN sijapata. Huyu Omari Issa nilitegemea kwa kuwa alikuwa anafanya kazi na institution kubwa duniani angekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa BRN wanayo website ya...
HARUFU YA UFISADI MRADI WA UMEME WA KINYEREZI II ULIOGHARIMU MABILIONI YA KITANZANIA.
Harufu ya kuwapo kwa jipu la ufisadi katika mradi mkubwa wa umeme wa Kinyerezi II imebainika,huku Serikali...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Wa shirika la Utangazaji nchini, Tido Mhando, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtka mashtaka matano.
Mhando ambaye kwa sasa ni...
" Vita ya uchumi ni hatari sana, mimi nimejitoa sadaka Mtanikumbuka"
Ni maneno ya mwisho ya aliyekuwa Rais wa JMT hayati Magufuli akiwa katika madhabahu ya Kanisa la Mtakatifu Petro, Osysterbay...
Chama kimoja,
Mhimili mmoja,
Mmekuwa waongo waongo kwa kujificha kwa Kikwete kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo.
JK mvumilivu sana,ndio maana aliwahi tamka kuwa hatuachiani glass ya...
Zoom Saturday 20/11/2021
Usikose kufauatilia mjadala uliondaliwa na Watch Tanzania utakaofanyika kupitia mtandao wa ZOOM utakaofanyika tarehe 20/11/2021 kuanzia majira ya 10:00 jioni hadi saa...
Wale waheshimiwa wa kutozingatia PGO ambao kwetu barabarani tochi wamefanya huo ni ulaji wao rasmi na wa kudumu, nani wa kuwafunga kengele?
"40km/h limit hiyo ni kwa watembea miguu. Tufike mahali...
Watu wana vipaji vyao siyo mchezo.
Kiluchotokea leo bungeni kwa spika wa bunge Ndugayi kumuonya mzee Ulimwengu.
Kilisha jibiwa na mh Heche zamani sana sasa nashangaa sana Ndugayi kushindwa...
Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi.
Wamedai kila wakimfata DC...
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu...
Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo?
Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.