Waliounga juhudi wana Amani kisiasa?

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
1,288
1,604
Miaka mitano iliyopita kuunga juhudi kwa vyama vyote vya siasa ilikuwa kama fashion na Sera ya kutafuta vyeo kwenye vyama.

Sasa tangu aunge juhudi Lazaro Nyalandu kumekuwa na ukimya mkubwa sana.

Juhudi iliyopo nakuungwa mkono ni POCHI LA MAMA

VIJIHELA VYA MAMA
Je, tutegemee kuwaona baadhi ya watu wakiunga juhudi za kudai Katiba bora na Tume huru?

Hivi karibuni nimesikia vyama vya siasa vimeunga juhudi kumgomea Msajili wa vyama vya siasa kushiriki kile walichoita Hawataweza kushiriki kwenda kuikanyaga katiba.

Je, juhudi hiyo imefanikiwa?

2025 wakigoma uchaguzi bila Katiba bora na Tume huru watafanikiwa?
 
Back
Top Bottom