Tuacheni kumsingizia January Makamba mambo mazito namna hii

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,447
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.

Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa upande wao wanahamia upande wa pili kutafuta heroes.

Nasisitiza. Tuache kumsingizia kuwa January Makamba aliwahi kuwa smart. Si kweli ... Hata kama kuna pesa zake tunakula basi pia tujitahidi kutompakazia mambo si kweli. Kuwa eti ana akili sana. Hapa kumkebehi
 
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yup smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi...
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu upo sahihi tena jamaa ni lijizi tokea kitambo,

 
Awe 'smart' au awe 'zuzu', hilo haliwahusu sana waTanzania. Linalotisha ni kuuza raslimali za waTanzania na kuwafanya tegemezi kwa hao wanaouziwa.
 
Mtoa mada sio jukumu lako kuwapangia watu cha kusema, sio uongo kusema Makamba ni smart kichwani huu ni wakati wa kuambiana ukweli.
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu upo sahihi tena jamaa ni lijizi tokea kitambo,

Asprin

Njoo upinge huu wizi,Kipara ngoto kakufilisi akili kabisa
 
Mtoa mada sio jukumu lako kuwapangia watu cha kusema, sio uongo kusema Makamba ni smart kichwani huu ni wakati wa kuambiana ukweli.
Sawa ukweli ni kua, Kipara ngoto ni mwizi kwa ushahidi hata wa wazi, hata huyo Da mange wenu alishathibitisha wizi wa kipara na dada and kwa aliyekua shemeji yake mzungu muitaliano
 
Back
Top Bottom