Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,716
- 11,703
Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula?
Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo!
UDSM hakuna tena 'kunji', sijui hata kama 'revo square' bado ipo. Vijana wanakwenda tu kama kondoo.
Wamachinga nao ndio wamenishangaza, miaka ile bomoa bomoa ya machinga ilikuwa pata shika nguo kuchanika, JWTZ wangelazimika kuongeza nguvu.
Watanzania walikuwa wapambanaji haswaa, roho ya ujasiri na kutetea utu wao ilikuwa inaishi ndani yao.
Kwasasa ni kama kundi la mazombi, waaishia tu kubweka mitandaoni, ni kama mbwa wasio na meno, hawana madhara. Wanaogopa mamlaka.
Je, ni ustaarabu umeongezeka? Au ni kiwango cha elimu? Au shida zimepungua na kuwafa