Nini umuhimu wa wadhamini kwa mgombea wa Urais?

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
1,287
1,604
Mara nyingi huwa nasikia mgombea urais ni lazima spate saini za watu asilimia kadhaa Bara na Zanzibar.
Lengo huwa ni nini wakati akishinda Katiba inamlinda kwa kinga ya sheria ya mazuzu.

Kwanini asiwe anasainiwa na taasisi mbalimbali kwa niaba ili akikiuka/kuvunja Katiba ashitakiwe?
 
CCM iliweka hivyo kokomo watu
 
Back
Top Bottom