Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Ni hivi, hicho kipindi mnachosema umeme ulikuwa haukatiki, ulikuwa haukatiki majumbani. Japo pia tuwe wakweli kwamba ulikuwa unakatika lakini sio kwa kiwango hiki, lakini ULIKUWA UNAKATIKA.
Hata hivyo katika kipindi hicho, biashara nyingi zikiwemo VIWANDA zilifungwa. Watu walikuwa hawazalishi kwa ukubwa.
Kuna mengi yaliyokuwa yanafanywa na Serikali iliyopita kuwaminya wafabiashara wakubwa, uzalishaji wao ukapungua.
Hilo lilikuwa na faida ya muda mfupi, kama hiyo ya kusema umeme ulikuwa mwingi wakati huo.
Lakini pamoja na madhara ya kwamba miundombinu ilikuwa haitengenezwi na sasa ndio tunapata tabu, Kufanya uzalishaji viwandani upungue kulikuwa na madhara ya muda mrefu. Ajira zilipotea mnoo.
Rais Samia kaja, watu wamefungua viwanda vyao, uzalishaji umeonmgezeka. Unaongezeka huku miaka mitano iliyopita hatujaongeza uzalishaji wa umeme kwenye gridi yetu ya taifa.
Matokeo yake umeme umekuwa mchache.
TUWE WATULIVU KAMA TULIVYO, RAIS WETU ATAMALIZA HILI.