Mbunge Bwege aliwahi kuonya juu ya umuhimu wa maji

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Aliyekuwa mbunge wa kilwa mh Bungala a.k.a Bwege aliwahi kuonya suala la maji.

Kwa aliyo yasema pale bungeni naomba kila mmoja wetu amsikilize hapa kwenye clip yake.

Waziri Makamba unawakwaza watamzania kwa kitendo chako cha kushindwa kusimamia idara za maji.
 
Back
Top Bottom