Maono yangu kutoka Temple Mount: Ipo siku CHADEMA itaongoza Tanzania

CreativityCode

Senior Member
Aug 8, 2020
158
653
Shabbati Shalom from Jerusalem,

Brethren, nikiwa natembea hapa Temple Mount mahala lilipokuwa hekalu lililojengwa na Mfalme Solomon wa Israel yapata miaka 3000 iliyopita kabla ya kubomolewa na wababiloni, kujengwa, kisha kubomolewa tena na Warumi miaka kadhaa baada ya Yesu Kristo kupaa. Kwa wasomaji wa Bible hili ndilo hekalu alikuwa akisalia Masiha. Lakini ndilo Bwana wa Mabwana aliwaambia senashara wake 12 kuwa lingebomolewa na kwamba kusingekuwa na jiwe juu ya jiwe lisilobomoshwa. Soma hapa chini:

Luke 21: 5 (KJV) And as some spake of the temple, how it was adorned with goodly stones and gifts, he said, 6 As for these things which ye behold, the days will come, in the which there shall not be left one stone upon another, that shall not be thrown down.


Zaidi, hapa ndipo ulipojengwa msikiti wa Al Aqsa, pia kuna Dome of the Rock ambavyo vilijengwa baada ya wayahudi kutawanywa duniani kote kama watumwa baada ya kuvamiwa na warumi.

Nikiwa natembea mara nikaona maono kuwa CCM imeshindwa uchaguzi na CHADEMA na kutokana na shinikizo la kimataifa ikakubali kuachia madaraka.

Ni hayo tu.

Wikiendi njema
 
2773061_FB_IMG_1620925066257.jpg

Kuna Mtu analia
icon_lol.gif
 
Chadema ya sasa haina tofauti na kina sau, chauma na nduguze Nld. Wale wazalendo wako imara kuliko hilo genge la faru John.
 
Siku watakapoacha kuchumia tumboni, siku watakapoacha kubeba mamluki wa fisiemu, siku mzee wa konyagi atakapokubali kupasisha madaraka kwa wengine.
 
Hiyo itakuwa miaka 1000 ijayo ambapo kizazi hiki cha wanachadema kuongoza chama kutoka kwa akina amsterdam kitakuwa kimepita
 
Back
Top Bottom