Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

MSHINO

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,064
2,000
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.

Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.

Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.

HUDUMA ZA JAMII
 • Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
 • Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
NISHATI na MADINI.
 • Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
 • Kufuta kabisa mgao wa umeme LAKINI SASA MGAO UMERUDI KM ZAMANI.
 • Tumeambiwa na waziri kuwa TANESCO waliogopa kufanya matengenezo kwa hiyo mgao wa umeme Tanesco kufanya matengenezo. MPAKA lini?
 • Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
 • Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
 • Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
 • Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
 • Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
 • Zahanati 1, 198
 • Vituo vya Afya 497
 • Hospitali za Wilaya ni 71
 • Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
 • Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
 • Fly overs
 • Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
 • Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
 • kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
 • Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
 • Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
 • Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
 • Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
 • Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
 • Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
 
DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
1,253
2,000
10 Nyerere + 10 Mwinyi + 10 Mkapa + 10 Kikwete + Samia = 5 Magufuli

This man was a Legend! Mengi makubwa yamefanywa katika awamu ya tano.
Nakubaliana kabisa na wewe..inashangaza sana mtu kama Nape anabwabwaja tu....wakati wa awamu ya tano si alikuwa mbunge tena chama tawala na JPM akiwa mwenyekiti ...haya maswali angeuliza kipindi hicho ....Pamoja na JPM kukopa lakini kuna vitu tunaona na hilo lipo wazi....Yeye Nape so far amafanya nini kwa wapiga kura wake achilia mbali nchi...korosho tu haiwezi...
Apunguze mdomo....hana jipya
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,585
2,000
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.

Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.

Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.

HUDUMA ZA JAMII
 • Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
 • Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
NISHATI na MADINI.
 • Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
 • Kufuta kabisa mgao wa umeme
 • Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
 • Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
 • Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
 • Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
 • Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
 • Zahanati 1, 198
 • Vituo vya Afya 497
 • Hospitali za Wilaya ni 71
 • Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
 • Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
 • Fly overs
 • Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
 • Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
 • kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
 • Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
 • Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
 • Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
 • Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
 • Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
 • Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
Acha wajiliwaze ,ila tuendako sasa basi, Magufuli kaondoka katutoa tongotongo machoni mwetu,hatudanganyiki tena na tena
 
Gladiator4440

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
1,417
2,000
Alikuwa mwizi,muuaji na asiyependa kuona watu wakiishi vzr kwa haki!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Mwizi mzuri sana! Yaani mwizi anayeiba na kujenga miundombinu na kuleta maendeleo watamzania ndiyo tuloyemhitaji! Muuaji anayeua wanaotaka wajawazito wafie njiani wakielekea hospital kwa ubovu wa miundombinu kwa kuendekeza siasa uchwara wacha wauliwe tu! Sisi tulikubaliana na hilo! Au wanaoteseka na umasikini sio watu? Asiyependa kuona watu wakiishi vizuri aliwajengea miundombinu ya kisasa,akawapa elimu bure,maji,huduma bora za afya bila kusahau aliwapenda machinga! Kama asiyetenda haki alikuwa hivyo,Basi siai tulimpenda hivyo hivyo!
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
809
1,000
Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi mpaka waziri mkuu Lowassa kuwajibika? tunakumbuka ufisadi wa RICHMOND, KAGODA, MEREMETA, MIKATABA YA MADINI, escrow account, tegeta escrow na nk.

Kuna watu wanahoji mikopo ya pesa nyingi kwa muda mfupi; hivi kuna ubaya gani ukikopa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi? au ni bora kukopa kidogo kwa muda mrefu? sijui watanzania tumerogwa na nani? siku moja nilikutuna na Prof mmoja bingwa wa mifupa akatuambia kuwa watanzania hatujui sekta ya afya ilivyokuwa taabani, lkn sasa vifaa tiba na wataalamu wamejaa, lkn aliongeza kuwa watanzania ni wapole sana. ni hiii kitu ndiyo inatufanya tuendelee kuwa maskini.

Tumesahau mambo makubwa aliyoifanyia nchi yetu tena kwa kipindi kifupi., mfano ni hii hapo chini.

HUDUMA ZA JAMII
 • Kutoka asilimia 47% iliyokuwepo mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 69% katika kipindi cha mwaka 2019-2021.
 • Kumboreka kwa huduma ya maji kutoka asilimia 47% mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 70.1%.
NISHATI na MADINI.
 • Kupungua kwa gharama za kuvuta umeme kutoka 470,000/= mpaka 20,000/=
 • Kufuta kabisa mgao wa umeme
 • Kuanzaishwa kwa masoko ya ndani ya madini, ikumbukwe kuwa ukikamatwa na madini yanataifishwa na kifungo juu wakati hapakuwa na soko la madini hayo.
 • Kupitiwa kwa mikataba ya ulaghai kwenye madini na gas na kupanda kwa mrahaba kutoka 3% mpaka 16%
ELIMU
 • Elimu ya bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari na kufuta michango
 • Kungozeka kwa wanaopata mikopo elimu ya juu
 • Ukarabati shule zote kongwe za sekondari nchini.
AFYA
 • Zahanati 1, 198
 • Vituo vya Afya 497
 • Hospitali za Wilaya ni 71
 • Vifaa tib ana mitambo mikubwa ikumbukwe hapo nyuma machine kubwa km MRI na CT SCAN zilikuwa muhimbili na Aka Khan.
 • Madakatari bingwa wote walihamia hospitali za watu binafsi.
MIUNDO MBINU
 • Fly overs
 • Bara bara kila kona ya nchi kama kule Ludewa, makete, Manyara, Kigoma, Tabora
 • Upanuzi wa bandari ya Dar es salaam.
MAAMZI MAGUMU:
 • kusimamia maamuzi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kuhamia Dodoma
 • Ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere
 • Ujenzi wa mradi mkubwa wa reli SGR
 • Daraka kubwa la Busisi ziwa Victoria
 • Kufufua shIrike la ndege sasa lina ndege kubwa km Dreamliner, airbus
 • Mapambano ya wazi dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi
 • Mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya
Tatizo kubwa kwa wanasiasa wa Tanzania ni uchumia tumbo.
Wengi wanakuwa wanafiki kwa kujipendekeza zaidi kusaka madaraka.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
2,336
2,000
Usiseme Watanzania!sema wasaka vyeo.Kwani Nani asiyejua huyu Nape ndo alikuwa mwenezi wa Serikali ya Kikwete mabingwa kwa kupinga pesa,mpaka watu waliokufa waliendelea kupokea mishahara?.

Watampa tu uteuzi na atanyamaza ila laana itamufuata Kama January laana inamsaka kila Kona.
 
bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
7,197

Mabaki ya Sukuma Ganga haya
 
The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
13,660
2,000
Usiseme Watanzania!sema wasaka vyeo.Kwani Nani asiyejua huyu Nape ndo alikuwa mwenezi wa Serikali ya Kikwete mabingwa kwa kupinga pesa,mpaka watu waliokufa waliendelea kupokea mishahara?.

Watampa tu uteuzi na atanyamaza ila laana itamufuata Kama January laana inamsaka kila Kona.
Kinachotakiwa ni accountability. Kama wamepigia ijulikane tu hata kama wangetujengea mbingu hapa duniani. Maneno peke yake hayatoshi kama haysko supported na data.

Magufuli alikuwa na nafasi ya kuwawajibisha watu kama akina Nape kama kweli walipiga kama Kikwete alivyofanya kwa akina Mramba na Yona.

Pamoja na kujipa Bana kuwa ni mchukia ufisadi, yeye aliamua kuwawinda wafanyabiashara wakati alijua wao pekee hawawezi kula bila watu serikalini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom