YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,910
- 51,903
JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike.
Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam.
Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa.
Tafsiriri yake nini?