Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi wa Itifaki na Mahusiano ya Kimataifa kutoka Makao Makuu ya Chadema , John Mrema , ameendesha kwa mafanikio makubwa mno kampeni ya Kisasa ya Chadema Digital huko Mbozi , ambako Maelfu ya...
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Huwa nawaza sana tulifikaje hapa tulipo leo, Hivi ilikuwaje taifa lenye wasomi wazuri kabisa likaamua kufanya maamuzi ya kipumbavu ambayo hata Waroma wa kale walioishi miaka 2000 iliyopita...
38 Reactions
205 Replies
14K Views
Chuki za kuturudishia majina ya Gwajiboy huku hawakubaliki kisha wanaokubalika mnasema walikuwa watoa rushwa halafu ninyi wenyewe mnakuwa wakwanza kuwanunua watu hii haikubaliki kabisa. Wazee...
1 Reactions
3 Replies
804 Views
Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Nchi yetu kwa sasa imepata changamoto ya upungufu wa mvua, hii ni kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), jambo lililopelekea upungufu wa uzalishaji wa umeme hapa nchini, hiyo ni kwa...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Zitto na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hoja ya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine...
28 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia. Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia...
11 Reactions
69 Replies
4K Views
Najaribu kutafakari namna Viongozi wetu wenye CV nzuri na waliozunguka dunia wanavyoishi wakipewa madaraka. Ni viumbe wanaoongeza kwa kudanganya na kujidanganya. Pamoja na maisha yote waliyoishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uhuru ni dhana pana so ni vema wananchi wakawa wanaeleweshwa kuwa tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru wa nini? Ni Uhuru wa kujitawala baada ya kumfurusha mkoloni? Je, ni Uhuru wa kumiliki...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndani ya kipindi kifupi tunasikia taarifa ya wizi wizi wizi wa mali za umma kila kona, kila mahala na mbaya zaidi na watu wakubwa kabisa. Juzi hapa tulisikia mkurugenzi huko Gairo wa halmashauri...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Waziri awaagiza TAKUKURU kutinga Mererani kuchunguza wizi unaofanyika. Tuliambiwa kuwa kujenga ukuta ndiyo ingekuwa ni muaraobaini wa kuibiwa kwa madini hasa Tanzanite. ===== Kachunguzeni wizi...
4 Reactions
82 Replies
6K Views
Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu"...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri...
9 Reactions
267 Replies
32K Views
Ningekua kiongozi mpumbavu ningeingia mkataba wa ujenzi wa bandari ila kwasharti ya kwamba familia yangu ipewe 10% ya mapato ya bandari kwakipindi chote chauwekezaji. Ningeruhusu watu wainvest...
1 Reactions
2 Replies
859 Views
Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki. Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii. Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Naam! Kipindi cha awamu ya nne bwawa la mtera lilifungwa kabisa kwani lilikuwa halizalishi ata unit moja ya umeme na haya aliyasema mwenyewe katika hotuba yake clip hipo chini hapo. Awamu ya ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya mkutano wa Paris wa 2015, nchini Ufaransa, nchi zilizoendelea zilikubaliana kutoa msaada wa fedha na teknolojia ili kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye nchi zinazoendelea...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko. Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo. Leo Rais Samia...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom