Ujenzi wa Bandari Bagamoyo, wananchi 9800 kulipwa fidia

Lowkii

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
293
459
Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi.

Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo, Hekta 6,800 zilizobaki tayari hekta 2,600 zimelipiwa fidia kwa ajili ya uwekezaji na Mamlaka ya Bandari, COSTECH, EPZA na Taasisi ya Uongozi Institute

BSEZ miradi yake ni Bandari ya Bagamoyo, miradi ya maeneo maalum ya Viwanda, Uendelezaji wa Teknolojia, Taasisi za Utafiti masuala ya viwanda na Biashara, Taasisi za Elimu, Usafirishaji na Utunzaji wa Bidhaa, Uendelezaji makazi, Huduma za jamii na Utalii

Kwa Hekta 3,000 za mradi, Kampuni ya China Merchants Holdings na Mfuko wa Uwekezaji wa Serikali ya Oman, wamepanga k kujenga Bandari ya Bagamoyo, Kituo cha Usafirishaji kwenye eneo la hekta 800 na eneo Maalum la viwanda kwenye hekta, 2,200."

mwambe.jpg

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Geofrey Mwambe
 
Nilichosikia akisema ni kwamba mazungumzo yanaanza, pia kasema hakuna mkataba uliosainiwa kuhusu bandari ya bagamoyo.

Angesema haya maneno Magufuli akiwa hai ingependeza sana,kwa sasa ni kila kitu kusukumiwa marehemu asieweza kujibu lolote
 
Naisubiria hapa hii habari ila hii ya Magaidi kutoroka gerezani huko Kenya imenishangaza kidogo wanaweza kuleta tukio kubwa tena kulipiza kisasi.
 
Ok, ifuatiwe na hiyo LNG, then baadhi ya ile miradi ya awamu iliyopita itafutiwe sababu za kufa kama walivyoanza ngonjera za Nyerere Dam.

Kumbe tayari wanajua na idadi ya watu wataolipwa fidia sasa walikuwa wanaficha kitu gani? wakati wao walisema mazungumzo yanafufuliwa.

Nakumbuka Magufuli alisema huo mradi ni wakinyonyaji kwa taifa letu, na huu usiri wanaouleta kwenye huu mradi naamini maneno ya Magufuli.
 
Ok, ifuatiwe na hiyo LNG, then baadhi ya ile miradi ya awamu iliyopita itafutiwe sababu za kufa kama walivyoanza ngonjera za Nyerere Dam.
Lengo la huyo magufuri wako ni kubomoa nyumba za wenyeji bila ya kuwalipa lakini kwa vile tayali ilishawekwa kwenye watu kulipwa kwake ilikua nongwa.

Yeye alitaka kufanya kama alivyowafanyia wakazi wa kimara na mbezi. Siku zote alikua hapendi kusikia watu wana hela mifukoni.

Masikini akipata hataki masiki mwingine apate anawaza siku zote kuwakandamiza.kwasababu tu.

Mbona hata yeye alikua kwashida.

Hovyo kabisa!!
 
Wakati utaongea na muda utafika na kinywa chako kitasema magufuli ni mwamba wa Afrika, na utakuwa muumini wa magufulification na amini IPO siku utakugusa utawala huu pabaya sana
 
Nilichosikia akisema ni kwamba mazungumzo yanaanza, pia kasema hakuna mkataba uliosainiwa kuhusu bandari ya bagamoyo.

Angesema haya maneno Magufuli akiwa hai ingependeza sana,kwa sasa ni kila kitu kusukumiwa marehemu asieweza kujibu lolote
Nchi sio ya marehemu hii. Kama kuna tatizo ni wajibu wa walio hai kupigana.
 
Wakati utaongea na muda utafika na kinywa chako kitasema magufuli ni mwamba wa Afrika, na utakuwa muumini wa magufulification na amini IPO siku utakugusa utawala huu pabaya sana
Mkuu kama ni hapali za kuaminishana mendeleo miaka yote ndio tabia ya CCM. Wanachokisema usifikili ndio ilivyo.

Ila tu lazima ujue utawala ule ulizidi kuhadaa wananchi kwa data za kutengeneza.

Na ukithubutu kusema neno lolote lisilowafurahisha timu jiwe.ujue utaishi bila ya amani, lakini shida watu wa ainayenu hamuelewi kabisa.
 
Lengo la huyo magufuri wako ni kubomoa nyumba za wenyeji bila ya kuwalipa lakini kwa vile tayali ilishawekwa kwenye watu kulipwa kwake ilikua nongwa.

Yeye alitaka kufanya kama alivyowafanyia wakazi wa kimara na mbezi. Siku zote alikua hapendi kusikia watu wana hela mifukoni.

Masikini akipata hataki masiki mwingine apate anawaza siku zote kuwakandamiza.kwasababu tu.

Mbona hata yeye alikua kwashida.

Hovyo kabisa!!
Unaamini hawa waliopo sasa ndio wasemaji wako? ok, kuota ni haki yako, nami naheshimu ndoto zako.
 
CCM ote wahovyo.ila wakati ule ulikua umezidi.ilifikia wakati mtu upo ndani umeme ukikatika kusema au kulalamika kukatika kwa umeme umatoka kwanza nje na unaangaza kona zote kusiwe na mtu anaesikia.

Maana ukisikiwa unalalamika kunahatali ya kushughulikiwa hivyo kila kitu kilikua hakiko wazi.

Mtu alifikia hata kusema, nitakopa na sisemi nakopa wapi na lini?

Wewe bado unamsifia mtu alikua mzuri.

Wanaosifia utawala wa aina ile ndio wanaosababisha kuturudisha nyuma kimaendeleo na mabadiliko kwa ujumla.
 
Nilichosikia akisema ni kwamba mazungumzo yanaanza, pia kasema hakuna mkataba uliosainiwa kuhusu bandari ya bagamoyo.

Angesema haya maneno Magufuli akiwa hai ingependeza sana,kwa sasa ni kila kitu kusukumiwa marehemu asieweza kujibu lolote
Mimi naelekea milimani kwa maombi Magufuli afufuke tu aje ajionee.Katika maombi yangu namuomba Mungu mwenyewe amuonya Magu akirudi Duniani aache kuwa nawasiojulikana
 
Lengo la huyo magufuri wako ni kubomoa nyumba za wenyeji bila ya kuwalipa lakini kwa vile tayali ilishawekwa kwenye watu kulipwa kwake ilikua nongwa.

Yeye alitaka kufanya kama alivyowafanyia wakazi wa kimara na mbezi. Siku zote alikua hapendi kusikia watu wana hela mifukoni.

Masikini akipata hataki masiki mwingine apate anawaza siku zote kuwakandamiza.kwasababu tu.

Mbona hata yeye alikua kwashida.

Hovyo kabisa!!
Unachokisema na alichowahi kukisema ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom