Safari ya Egypt kwa Mkandarasi mkuu, mgao wa ajabu wa umeme na maji

Uhuru n Umoja

JF-Expert Member
May 25, 2016
1,160
2,223
Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia.

Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
20211119_040006.jpg
20211119_035939.jpg
 
Kivuli BADO kinaishi,hao jamaa wanaamini wanapambana na mwendazake kumbe wanatuumiza sisi
 
Uliwahi kutafuta maana ya insanity? Albert Einstein: The definition of insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.
Je tuko wapi?
 
Back
Top Bottom