Wakati ule wa rasimu ya warioba, Polepole alizunguuka almost nchi nzima kuelezea uzuri wa katiba mpya(rasimu ya Warioba) na ubovu wa katiba ya zamani ya mwaka 1977.
Wakati ule alisema katiba ya...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema kutokana na kuchelewa kwa mvua za vuli maji katika mto Ruvu yamepungua na kusababisha upungufu wa lita milioni 70 sawa na 26%
Makalla amewataka...
Hii habari ya Makonda kushitakiwa tuitazame kwa umakini hass kipindi hiki ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA,.Mh. Mbowe akiwa na kesi isiyoeleweka.
Na itakuwa ni utata zaidi iwapo Makonda atashitakiwa...
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan
Mbali na Marais hao kufanya...
Shule zinakaribia kufungwa. Hii maana yake ni nini? Maana yake walimu wamefanya kazi wakamaliza syllabus wamefunzidha vizuri. Wanafunzi mwamesoma vizuri na wamesimamiwa vizuri.
Sasa wanaenda...
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema suala la marekebisho ya Katiba haliepukiki kwa sababu katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu aliyeziumba mbingu na dunia.
-----
Alisema hayo katika mahojiano na...
Maisha yanaendelea! Maelfu ya graduates wasio na ajira yanaongezeka mtaani kila mwaka!na graduates wanashindwa kurejesha mkopo wa masomo waliotumia kusomeshwa. Muda umefika serikali ifanye Re...
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi.
Akizungumza na wakuu wa vyuo vya...
Wana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa...
Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.
Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu...
Watanzania Milioni 31 ndio wenye uwezo wa kufanya kazi (nguvu kazi), kati ya hao 61.5% wanajishughulisha na Kilimo (ikiwemo uvuvi, ufugaji na misitu), 14.5% wanajishughulisha na Biashara, 3.7%...
Chama Cha Mapinduzi kuzindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi mdogo jimbo la Ngorongoro trh 26|11|2021 katika Viwanja vya Malambo kata Sale.
Kampeni hizo zitazinduliwa na Katibu wa NEC Itikadi &...
13 October 2021
Chato, Geita
Tanzania
KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO
Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe...
Maeneo ambayo ujenzi wa madarasa unafanywa na wakandarasi miradi hii inasuasua sana, sehemu nyingi mpaka sasa wanachimba misingi wakati wale waliotumia force accounts miradi ikiwa ipo kwenye hatua...
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewaomba wananchi wa Ngorongoro kumchagua Shangai awe Mbunge wa Jimbo hilo ili aweze kushirikiana na Serikali kuwaletea maendeleo...
Hizi nchi zetu masikini ikitokea changamoto kidogo ni shida kubwa sana.
Tanzania inategemea mapato ya utalii kwa zaidi ya 25%. Utalii mwaka huu ni kama umekufa kabisa kama sio uko chini ya 2%...
Nimefatilia mahojiano ya mgogoro unaoendelea huko Mbweni kwenye bomoa bomoa waliyofanya juzi kwa usimamizi wa Askari, pale kuna ujanja unataka kufanyika nawaambia na kama ni eneo la bonde...
Gazeti la mwananchi limekuja na habari ya kina inayoonyesha upandaji bei wa kutisha wa vifaa vya ujenzi kwa miezi 6 iliyopita.
Waziri wa viwanda Prof Kitila Mkumbo amesema hata yeye hajui kwa...
1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza...
JE, ZITTO NI MBADHIRIFU KTK KILE KINACHOITWA UBADHIRIFU WA TRILIONI 1.5?
Na Moses Machali
21/04/2018
Ubadhirifu ni nini?
Kwa Mujibu wa Kamusi ya Maana ya Matumizi (Bakhressa Salim K, 1992)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.