Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati Mkuu wa Wilaya Nanyumbu, Moses Machali, akidai kunusurika kukatwa panga akihamasisha wajasiriamali kuchukua vitambulisho, Polisi mkoani Mtwara imesema aliwatishia bastola wauza madafu baada...
6 Reactions
75 Replies
12K Views
Huu utaratibu ulikuwa unaleta shauku Kwa wananchi na majibu mengine yalipatikana kupitia utaratibu huu. Kuna wakati wananchi wanakuwa na shauku ya kujua kinachondelea nchini juu ya mambo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na...
1 Reactions
3 Replies
898 Views
Leo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?
10 Reactions
202 Replies
20K Views
Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19. Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo...
8 Reactions
287 Replies
16K Views
Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe...
37 Reactions
99 Replies
7K Views
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM. Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais...
9 Reactions
60 Replies
51K Views
Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021 unahusu urejeshwaji shuleni kwa wanafunzi wa primary na sekondari walikatisha masomo kwa sababu mbali mbali ukiwamo utoro, na mimba. Lakini katika waraka...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Mambo yanaendelea kwa kasi ya hatari sana , hivi ndivyo ilivyokuwa Kahama Mjini Mjumbe hauawi.
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Toka Magufuli afariki misimamo na mipango yake kadhaa aliyoiasisi na kuisimamia kwa nguvu zote imepanguliwa na ni wazi itaendelea kupanguliwa. Iliyopanguliwa mpaka sasa 1. Ujenzi wa bandari ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia dunia kukata tamaa kwamba mgogoro wa Israel na Palestina hauwezikuisha asilani na kwamba dunia imegawanyika katika mgogoro huu kwa kuchukuwa pande mbili ambapo upande mmoja wa dola za...
0 Reactions
11 Replies
987 Views
Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her...
24 Reactions
122 Replies
11K Views
Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni leo tena. Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi. Nia yangu bayana kwenye...
29 Reactions
168 Replies
13K Views
Pamoja na kwamba huu ni msimu wa kilimo lakini Wananchi waliamua kusitisha kulima kwa muda kwa ajili ya Uhai wao, ikumbukwe kwamba siasa ni Uhai.
4 Reactions
4 Replies
941 Views
Januari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenya mgogoro wa ardhi takribani miaka 23 baina ya uwanja wa ndege (JNIA) na wakazi wa kipunguni (DSM). Je, Tanesco Hawaoni watapata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa. Wakati...
22 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom