NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,526
- 17,429
Maisha yanaendelea! Maelfu ya graduates wasio na ajira yanaongezeka mtaani kila mwaka!na graduates wanashindwa kurejesha mkopo wa masomo waliotumia kusomeshwa. Muda umefika serikali ifanye Re alocation ya bajeti ya mkopo kuwa bajeti ya ajira mpya ili graduates waajiriwe na serikali nchini.
Wakati huo elimu ya chuo iwe bure bila ada na vyuo vipokee capitation kutoka serikalini kama mashule vijiendeshe na mwanachuo ajikimu kwa chakula na malazi tu asome awe na uhakika wa ajira.
Pia kila mwaajiriwa akatwe tozo ya maendeleo ya chuo alichosomea kwa kiasi kidogo kisichoongezeka kila mwezi hata baada ya kupanda cheo.
Hela za mafunzo kwa vitendo zitolewe na serikali kwa kila mwanachuo kwa kujali gharama za faculty anayosomea!
PELEKENI MUSWADA BUNGENI MJADILI MUONE NAMNA KUFANYIA KAZI WAZO LANGU.