Anaandika Askofu Bagoza PhD.
TUNAHITAJI HALMASHAURI NYINGI KULIKO MIKOA NA WILAYA MPYA
Kamati ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (RCC) imemaliza kujadili mapendekezo ya kuundwa kwa Mkoa mpya wa...
Kesi ndogo ya Mohammed Ling'wenya iwe nafasi ya kuzianika mbivu na mbichi zote hadharani.
Iliyodhaniwa nia njema (ya kusaka haki tu) kuwapo japo kidogo, imeshadhihirika kuwa haipo. Si jaji si...
Kumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali.
Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye:
1. Uwepo wa Corona
2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi...
Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba?
Wakati huyo mwanafunzi analea, mimba yake akiwa darasani je, huyo...
Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo.
IGP Sirro alitoa kauli hiyo...
Kama ilivyo ada ,mchina haaminiki kabisa ,mfano ni nchi jirani ya Zambia yaliyotokea wote mnafahamu.
Hisia zangu zinaniambia kwa kuwa mradi huo ni mkubwa sana eneo hilo, na unagharimu pesa nyingi...
Najaribu kuvuta kumbukumbu na kumbukumbu hizi zinanirudisha nyuma mpaka Oct 2018 wakati Rais wa awamu ya tano Dkt John Magufuli alipoagiza kukusanywa kwa Wakulima korosho zote na baadhi ya...
Leo imefika mwaka mmoja kamili tangu WALIOKUWA WANACHAMA WA CHADEMA wajiuze rasmi , na kusaliti mapambano ya kutafuta haki , ni mwaka kamili wa kushuka thamani yao kutoka juu hadi kuporomoka chini...
Sikatai watoto wa kike kupata elimu ,lakini wasiwasi wangu jambo hili halikushirikisha wadau wa elimu ili kupata namna bora ya kulifanyia kazi .
Serikali ilijikita zaidi kwenye pesa za misaada na...
China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na...
Leo tarehe 23/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Jumatatu, tarehe 22 Novemba, 2021.
Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha.
Ameeleza...
1. Ufanisi wake umepungua mno kiasi kwamba vivuko vitatu vinatumia zaidi ya dk 10 kutoka upande mmojq kwenda upande mwingine.
2. Vivuko vyote vinatoa moshi unqoathiri afya za abiria
3. Kivuko...
Benki ya Dunia imeunga mkono tangazo la Serikali ya Tanzania la kuondoa vikwazo vya upatikanaji wa elimu, vikiwemo vile ambavyo vimewazuia wasichana wajawazito au kina mama wachanga kuhudhuria...
Mbunge wa Mbozi George Mwenisongole amesema Zambia na Malawi serikali zao zimeweka ruzuku kwenye bei za mbolea hivyo amewashauri wananchi wakanunue huko badala ya kuacha kabisa kulima...
Haya yanayotokea Mahakamani ni Mpango wa Mungu mwenyewe kuwaumbua watawala wa Tanzania .
Haiwezekani Mtuhumiwa wa Ugaidi awe na wafuasi wengi kiasi hiki , hili ni fundisho kubwa sana .
Nimeona upugufu moja katika vijana wa kitanzania wa kishabikia jambo lolote wanakuwa full na sahau fursa za kiuchumi, kwa mfano kijana wa kiTanzania atashabikia Simba au Yanga bila kujua kwamba...
Habari JamiiForums.
Hadi sasa Machinga wamerudi katika maeneo ambayo hayatakiwi kufanyia biashara (Alietoa wazo la kuwarudisha ni Mkuu wa wilaya ya Ubungo).
1.Baadhi wamerudisha mabanda...
Nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu Magufuli (r.i.p);
1. Hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.