Zitto: Uchumi wetu ni duni sana

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Watanzania Milioni 31 ndio wenye uwezo wa kufanya kazi (nguvu kazi), kati ya hao 61.5% wanajishughulisha na Kilimo (ikiwemo uvuvi, ufugaji na misitu), 14.5% wanajishughulisha na Biashara, 3.7% wameajiriwa kwenye Viwanda na 1.4% kwenye uchimbaji wa madini. Uchumi wetu ni Duni sana
 
Na bado lilitokea chizi likawa linazidi kuua uchumi kwa kudhulumu mazao ya wakulima, kudhulumu pesa za wafanya biashara kwa kupora fedha zilizo kwenye akaunti zao za benki na kuwabambikia kodi tofauti kabisa na biashara wanazofanya.
 
Watanzania Milioni 31 ndio wenye uwezo wa kufanya kazi (nguvu kazi), kati ya hao 61.5% wanajishughulisha na Kilimo (ikiwemo uvuvi, ufugaji na misitu), 14.5% wanajishughulisha na Biashara, 3.7% wameajiriwa kwenye Viwanda na 1.4% kwenye uchimbaji wa madini. Uchumi wetu ni Duni sana
Mimi sijaelewa ilibidi Zitto afafanue kidogo. Huo uduni ni kwasabb ya takwimu hizi ama ?
 
Back
Top Bottom