Hayati Magufuli na serikali yake hawakumaliza wahuni "anonymous" wanaolisumbua taifa letu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.

Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
 
Polepole yuko sahihi kwa kiasi fulani. Magufuli alifanya kosa la kuangamiza wazalendo wa kweli na kuwaacha vibaraka waliokuwa wamejivika kwenye ngozi ya kumsifia.
 
Lugha iliyotumika ni wazi walikuwa wanasalimia ardhi kila wakiahighulikiwa.

Ogopa sana pale serikali inapokuona wewe ni mhuni
 
Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.

Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Yeye mwenyewe alikuwa mwizi na mpiga dili ndio maana alitumia cheo chake kuhonga mahawara zake nyumba za serikali wakati hawakuwa na sifa wala vigezo, alifanya ufisadi mkubwa katika manunuzi ya boti iliyokusudiwa kufanya safari zake kati ya bagamoyo na dar,akiwa rais aliamuru kutekelezwa kwa miradi mingi bila kuzingatia sheria ya manunuzi na pia akiwa rais ndiyo zilipotea pesa nyingi kupita ufisadi mwingine wowote uliowahi kufanywa toka nchi ipate uhuru kwani zaidi ya trilioni moja na nusu ziliyayuka kimiujiza,kwa ujumla lilikuwa jizi lilokubuhu.
 
Mbinu alizotumia kumalizia wahuni hazikuwa sahihi kuteka na kuumiza watu ni mbinu za kikoloni,
Mbinu Bora na sahihi ya kumalizia wahuni na wapigaji ni katiba mpya , nasema tunataka katiba mpya .
 
Tajiri mkubwa kama Mo anatekwa na hakuna jitihada zilizofanyika kukamata hao watekaji

Haya hiyo kama haitoshi, watekaji wamekuja kumuachia Mo upenuni mwa ikulu, sasa wahuni ambao walikuwa na confidence ya kufanya uhuni hadi kenye vibaraza vya ikulu utasemaje kwamba awamu ya 5 ilitokomeza uhuni?
 
unajuaje labda Mo naye ni sehemu ya wahuni...
 
Polepole yuko sahihi kwa kiasi fulani. Magufuli alifanya kosa la kuangamiza wazalendo wa kweli na kuwaacha vibaraka waliokuwa wamejivika kwenye ngozi ya kumsifia.
Kweli wale Wazalendo walioharibu Flow meter bandarini,waliokuwa wanalipa mishahara hewa kwa watu waliokufa na kujaza account zao,waliokuwa wanabeba pesa kwenye viroba na kuita vihela vya mboga,waliojaza ndugu zao kazini kwa vyeti vya kufoji huku vijana wenye first class wakisota mitaani.
 
Wahuni na Wapigaji kina Nyoka makengeza, Msoga Family, Home Shopping Centre now GSM, Papa Rostum Ziz, Gabacholi NJIMA and the like kosa kubwa kuwaweka karibu na Raslimali za Taifa tutakuja kuambulia mabua.
 
Tajiri mkubwa kama Mo anatekwa na hakuna jitihada zilizofanyika kukamata hao watekaji

Haya hiyo kama haitoshi, watekaji wamekuja kumuachia Mo upenuni mwa ikulu, sasa wahuni ambao walikuwa na confidence ya kufanya uhuni hadi kenye vibaraza vya ikulu utasemaje kwamba awamu ya 5 ilitokomeza uhuni?
Kweli awamu ya 5 haikutokomeza wahuni, maana Kama Dr.Ulimboka aling'olewa meno na wasiojulikana,na hawakuwahi kujuli kana.
 
Wahuni na Wapigaji kina Nyoka makengeza, Msoga Family, Home Shopping Centre now GSM, Papa Rostum Ziz, Gabacholi NJIMA and the like kosa kubwa kuwaweka karibu na Raslimali za Taifa tutakuja kuambulia mabua.
Huyu Nyoka wa makengeza ndo waliomuwezesha mzee wa Msoga kutinga Ikulu, alikuwa haguswi.
Ila Mwendazake zake akajitoa mhanga akalipoteza joka la makengeza.
Natumai lipo linapasha kurudi ulingoni.
 
Kweli wale Wazalendo walioharibu Flow meter bandarini,waliokuwa wanalipa mishahara hewa kwa watu waliokufa na kujaza account zao,waliokuwa wanabeba pesa kwenye viroba na kuita vihela vya mboga,waliojaza ndugu zao kazini kwa vyeti vya kufoji huku vijana wenye first class wakisota mitaani.
Sikatai kuwa aliwashughulikia baadhi. Kosa alilofanya ni kuwakumbatia wengi.
 
Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.

Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Pragialism, umekopi kwa Polepole au wewe ndiye Polepole
 
Sijaelewa mhuni ninani? Aliyewasifu bashite na sabaya wakifanya uhuni sio mhuni? Aliyeruhusu wanasiasa upinzani kushawishiwa kwarushwa warudi chama twawala na kupandisha cheo anayefanya hayo siyo mhuni? Aliyefunga a/c zawafanya biashara? Aliyejenga kwao kwanguvu,aliyebagua kaskazini,aliyeteua zaidi kandayake? Aliyefunga/kuteka/kutesa/kupoteza/kupiga risasi wanaompinga,aliyenyima watu haki zamishahara,aliyefukuza watu kazi hovyo,aliyetukana viongozi wenzie wapumbavu Nk.
Labda sijui maana ya kiongozi mhuni!!
Kunavijana wapumbafu wanaamini polipoli libaakili,wanamskiliza na naskia skuhizi anawafundisha uongozi. Niushauri wangu polipoli akatazwe kufundisha ujinga vijana huko mitandaoni. Aidha akasomee uongozi kwanza kwamaana anawapotosha vijana wengi kwa mwamvuli wa aliiongozaga Ccm!!!
 
Back
Top Bottom