Rais Samia Suluhu Hassan amelikataa ombi la Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani la kutaka kutumia nusu ya fedha wanazokusanya kama faini kuendeshea Baraza la Usalama Barabarani.
Rais...
The third-largest pizza delivery restaurant in the world Papa John's International Inc's plans to open 60 fast food outlets in Kenya and Uganda from next year, it announced Tuesday.
The American...
Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu...
Wahenga waliwahi kusema kuwa "LISEMWALO LIPO, KAMA HALIPO LAJA"
Yametimia ya Magufuli baki: Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame
Binafsi nawaza sipati jibu nini...
Nawakumbusha tu CHADEMA wasimlishe maneno mtuhumiwa Ole Sabaya kwamba amekiri kutumwa na Hayati Magufuli kufanya yale anayoshtakiwa kuyafanya.
Ole Sabaya ameitaja mamlaka ya uteuzi ambayo ni...
Tuliunda kamati za uchunguzi zilizosheheni wataalamu waliobobea wa mambo ya madini (profesa Mruma) na mtaalamu wa mambo ya fedha Profesa Osoro.
Kamati hizi mbele ya rais, na mbele ya wananchi wa...
Nikukumbushe tu Rais Magufuli mwaka 2017 wakati unapokea taarifa ya Prof. Mruma lalamiko lako kubwa sana na hata watanzania wakakuamini (Isipokuwa mimi) ni kuhusu kuchenjulia makinikia nje ya...
Waziri wa Utumishi mh Mchengerwa amelaumu watendaji katika Majiji makubwa nchini ambao wanalipwa mishahara na serikali lakini wamewekwa mfukoni na Matajiri
Hayo yamebainishwa kwenye mahojiano...
Jambo la kupongezwa kuona mawakili wa utetezi wakipambana vilivyo kuona haki za washitakiwa haziporwi.
Hata hivyo inashangaza ni kwa motisha gani upande wa mashtaka kupambana kikuku kuona...
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:
Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???
Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama...
Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi...
Mchakato wa kumtangaza Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa Mtakatifu ulioanzishwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Musoma mkoani Mara nchini Tanzania umehamishiwa Jimbo Kuu la Dar es Salaam...
Ni wazi Rais Samia atasikiliza kilio cha Watanzania juu ya kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya mchakato aliousimamia yeye binafsi akiwa mwenyekiti msaidizi wa bunge la katiba...
Mbunge wa viti maalumu komredi Polepole amesema enzi za awamu ya 5 hakuna mpinzani yoyote aliyenunuliwa na CCM ila walijileta wenyewe.
Hata Joseph Mbilinyi aka Sugu hatujawahi kumuahidi uwaziri...
Makamba ameanza kukagua mito yote akiongozana na mkurugenzi wa Tanesco Maharage Chande.
Anazunguka na kupiga hizo doria kwa chopa.
Mwaka huu mpaka kazi zenyewe ziseme basi.
Wakuu, story ya kesi ya Ugaidi, kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake ni msiri wa Kingai ambaye ni Denis Urio!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu sana huyu Denis Urio...
Kwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika...
Mbona mnatuchanyanya hivi mkisema Miaka 60 ya UHURU wa TANZANIA mnakusudia hii Tanzania iliyozaliwa 64 au kuna nyengine?
Hivi waandishi wa habari na wanasiasa mnaosema UHURU WA TANZANIA hivi...
Kupewa siku hizo wala siyo ishu , bali gumzo ni Lipumba kupewa siku 8 na rafiki yake Francis Mutungi ambaye ni Msajili wa vyama vya siasa , Wawili hawa waliunda umoja wa kumshambulia Maalim Seif...
Ingawa mimi sio mchumi wa namna yoyote, lakini kutokana na uzoefu wa utafutaji wa hapa na pale naelewa kwamba ili bei ya vitu ipande ni pale kunapokuwa na uhitaji mkubwa wa vitu kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.