Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.
Siku hizi huwezi kukuta wafuasi...
Salaam nyingi sana waungwana!
Tunaadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa kujitawala na kujifanyia maamuzi ya mambo yetu wenyewe.
Miaka 60 sio mchezo na haina kisingizio cha kusema sisi tuko nyuma...
Wana JF
Baada ya Mama Yetu Rais na Chief kutema nyongo kwa makundi yanayoendelea kuandaa kuvuruga mipango yake ya sasa ya kuboresha nchi na kuondoa makondokonda makubwa pamoja na vidonda...
Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa...
Bila kumumunya maneno, serikali ya awamu ya sita imedhamiria kwa 100% kuhakikisha mkataba ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unatekelezwa mara moja, serikali imejipanga kuhakikisha hilo linafanikiwa...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ameshangaa kuona watu kwenye Mafunzo na Semina Wizara ya Elimu hawavai Barakoa wala kufuata kanuni za afya za kujikinga na...
"Leo tumefanya Kikao cha Wakuu wa Vyama vya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kujadili masuala mbalimbali ya kurejesha Nchi yetu kwenye mstari wa demokrasia.
Viongozi Wakuu wa Vyama wanachama...
Umasikini ukizidi hazaa waasi wenye uzalendo~ alisema babu yule. Hakika meli ikipoteza dira mwisho wake sio mwema labda iokolewe na wasamalia wema na vipi Kama wasamalia huonekana ni waasi.
Taifa...
Nadhani simulizi ya wizi inaweza kusimuliwa vyema kwa Mkuu wa nchi ikadhibitiwa kwani yeye anamiliki vyombo vyombo vya udhibiti. Naomba nichokonoe wizi huu wa madini ili wanaohusika wazibe...
Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni.
Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata...
Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado...
Lazima tuweke utamaduni wa kupongeza. Uwekezaji umeongezeka na kwenye hili hakuna ubishi. Lakini cha kufurahisha ni kwamba uwekezaji umeongezeka wakati bado kuna Covid. Hii imetokana na uwezo...
Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama...
Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi...
Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na...
Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu.
Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu.
1. Yoshiro...
Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa.
Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya...
Kesho Inshallah, mawakili wasomi watawasilisha majumuisho yao mbele ya Jaji Tiganga.
Msingi wa kinyang'anyiro bila shaka utakuwa katika uhalali wa Detention Registers (DR). Moja kutokea Central...
Hello members.
Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo..
Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC...
Rais wa zamani wa Zaire (sasa Congo) Mobutu Seseseko alisafiri kwenda Ulaya, Marekani na Asia zaidi ya mara 890 kwa muda wote aliokaa madarakani kwa miaka 32, lakini hiyo haikuwafanya wawekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.