Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahakama ndio chombo kilichopewa jukumu la kutafsiri sheria kwa mujibu wa katiba. Hivi karibuni CHADEMA wamekuwa na tabia ya kuongelea maswala ya kesi za wanachama wao wakati kesi zikiwa...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Mh. Rais ongea na wafanyabiashara wa ndani washushe bei ya bidhaa za ujenzi hasa bati kama wataleta visingizio "nonesense" Ruhusu bidhaa hizi zitoke nje kwa wingi ili tupate unafuu wa bei wananchi...
15 Reactions
75 Replies
6K Views
Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) limesema mchakato wa kuuza umeme nje ya nchi umeanza kwa kujenzi wa njia za kusambaza umeme huo kuelekea Malawi, Uganda na Kenya Mwakilishi wa Shirika hilo...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu kuchanja watu kwa lazima. Hii baada ya vurugu kubwa ya waandamanaji kutokea Ubelgjii. Walikuwa wakiandamana kuelekea makao makuu ya umoja wa ulaya...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema leo usiku wa saa 6:00 katika uwanja wa taifa zitarushwa fataki kama ishara ya kuanza sherehe za uhuru. Wananchi msiogope bali mshangilie na...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mh. Warioba amesema hayo akihojiwa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
12 Reactions
93 Replies
6K Views
Haya ndiyo Maajabu ya Tanzania, Wakati wanafunzi ambao ni binadamu wakizuiwa kuendelea na masomo wakati wa likizo kwa madai kwamba wanapaswa kupumzika, binadamu wenzao ambao ni Watumishi wa umma...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Naam, malengo ya kujitawala yalikuwa kujenga taifa moja, taifa lenye nguvu na lililo na usawa kwa wote. Miaka 60 ya uhuru bado hakuna haki, tabaka masikini linanyanyasika, hakuna usawa wa...
1 Reactions
3 Replies
712 Views
Katibu mkuu wa wizara ya Maji amesema maji yameongezeka katika vyanzo vyetu vinavyotumika kuwahudumia Wananchi hivyo hakuna mgao wa maji kwa watumiaji wa kawaida Source: ITV habari Maendeleo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
TUNAHITAJI PROPAGANDA MPYA ILIYOSIMAMA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa zaidi ya 80% ya maisha ya mwanadamu yanaongozwa na Propaganda. Iwe propaganda nzuri au mbaya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Samia aliongea kwa ukali pale bandarini siku ya tarehe 4 mwezi huu wa Desemba. Sina uhakika kama wasaidizi wake walimtegemea kumsikia akiongea kwa kujiamini kiasi kile. Ni kama vile Rais...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu...
27 Reactions
315 Replies
25K Views
Umoja wa Ulaya(EU) wamwambia Rais wa Tanzania mama Samia Suluhu amwachie huru kutoka jela kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA mheshimiwa Freeman Mbowe. ============ Mwenyekiti wa kamati wa...
28 Reactions
147 Replies
12K Views
Nyota njema huonekana asubuhi. Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe. Sina uhakika ni nani mwingine hapa nchini ni mtoto wa Kiroho wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere zaidi ya huyu mahabusu Freeman...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo. Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa. Hata mimi humu nimei post mara ya...
19 Reactions
119 Replies
13K Views
Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu...
17 Reactions
60 Replies
6K Views
Mimi ni mpenzi wa gwaride na huwa napendelea kushuhudia uwanjani siyo luningani Naomba kujuzwa sherehe za mwaka huu zinafanyikia wapi kitaifa. Happy birthday Freeman Mbowe! Updates; Sherehe...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake. Ameenda mbali zaidi kwa...
10 Reactions
344 Replies
59K Views
Back
Top Bottom