Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo.
Kauli...
Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli...
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa.
Kwa upande...
Habari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika...
Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida.
Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la...
DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA
Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka...
Dr. Emmanuel Nchimbi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ndipo iliposhamiri matukio ya kuteswa waandishi wa habari ikiwemo kifo Cha Mwangosi huko Iringa.
Baada ya kuonekana Hana Jambo lolote...
Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa...
CCM ni kwa ajili ya Wakulima na Wafanyakazi (Jembe na Nyundo). Na haya ndio kiini cha maisha halisi ya watanzania na ndio maana hiki chama nakipenda sana.
Lakini, kwa sasa CCM ni chama cha...
Habari wanajamvi!
Nimemsikiliza kijana mwenzetu ndugu POLEPOLE katika hoja zake nyingi sana na mwisho hapa juzi akihojiwa.
IKANIBIDI nirudishe nyuma kumbukumbu hadi kipindi cha mchakato...
"Watanzania wanisamehe kutumia neno hilo, wakati wa uchaguzi inakuwa ovyo, na vijana waliyopo wasahihishe, uchaguzi wetu ni ovyo, umekuwa wa vita, wa rushwa, haki imepotea pale, na ndio maana...
Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama.
Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili.
Kwa hali...
Unaliona hilo bango? Linanikumbusha Tarehe 5 December 2019 niliandika makala nikionya matendo ya serikali ambayo yalikuwa yanakinzana na dunia ya ushindani inavyokwenda, Nilionya baada ya...
Mungu yupo. Muda utaongea! Nipo holiday mood, mniache tumalize Mwaka halafu tutaenda Hoja kwa Hoja. Huu Mwaka ulikuwa mrefu sana kwangu! Nilinyamaza upite, ujao sitokuwa kimya. Tutaanza kuongea...
Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.
Anayesema Awamu ya tano...
RAIS Samia Suluhu Hassan amevunja bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL) na kuagiza wizara kuichukulia hatua bodi ya mamunuzi kwa kutoa...
RC wa Dar es Salaam Amos Makalla haimaanishi kuwa Umati mkubwa na Shangwe lao likija Kukusikiliza na Kukuona au kumuona Bosi wako Kitaifa uliyekuwa ukimpamba mno Jana Kigamboni, basi ni Ishara...
Salaam
Mwandishi na Mhariri wa siku nyingi pia Mwanachama wa JamiiForums, Deodatus Balile amesema suala la Afya ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni suala nyeti linalohitaji kufikirika...
Nawasalimu kwa jina la Tanzania
Polepole amenukuliwa akisema kuwa katika awamu ya Tano aloondoka ni mtu mmoja tu MAGUFULI , lkn serikali ni ileile ,chama ni kilekile
hivyo hakuna awamu ya sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.